mkongojoli
Member
- Mar 8, 2009
- 20
- 6
ha ha ha....mwenyewe ukajua umemkomesha....si ajabu ulikuwa unajaribu mwenzio akafanya kweli....
<br />
<br />
hahahahahahaaa!! Najua ulitamani kumrudia ila ndo ikawa hivyo kwamba mlango ulikuwa umefungwa.
asante sana tindikaliaaah umenikumbusha mbali, hapo lazima uangalie backorder cost, holding & ordering cost, mwisho wa siku inabidi uminimize Total cost.
Nilikuwa na date wawili, kumbe huyu mmoja ambae nilikuwa nimemdondokea sana alistukia ishu akanipa mzigo. Baada ya ku duu kesho yake nikapigwa kibuti, sitakaa nisahauNi kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa. Kibuti sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5, namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu waliwapenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbu, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki. Je wewe una uzoefu gani na vibuti?
Hii inanikumbusha jamaa yangu mmoja, alimfatilia demu kama 3yrs, alikuja kukubaliwa then afta 3days akala kibuti, jamaa aliumia sana lakin alijipa moyo na maisha yakaendelea.Nilikuwa na date wawili, kumbe huyu mmoja ambae nilikuwa nimemdondokea sana alistukia ishu akanipa mzigo. Baada ya ku duu kesho yake nikapigwa kibuti, sitakaa nisahau
kumbe kuna hufika na unakuwa mzoefu?Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
Haahahaha....nadhani hichi ndio funga kazi! Sema wengine hua wanatongoza mpaka inakua kero dada akaamua isiwe tabu ngoja niombe na msaada wa wananchi!Niliwahi kuuliza humu jukwaani kuwa hivi kutongoza ni kosa?Sababu kuna kisa kilichotokea sehemu fulani kama miaka mitano iliyopita,jamaa alimtokea mtoto jibu la kwanza aliambiwa ,kamtongoze mama yako,jamaa hakukoma akaendelea ,siku moja baada ya kuwa binti ameshamdhalilisha vya kutosha na kijana hakomi basi akamsubiri na alipomuona tu akamsakizia mbwa na kumwitia mwizi,kilichofuata ilikuwa ni wananchi wenye hasira kuchukua sheria mikononi sasa sijui hiki kibuti mnakionaje wanajamvi?
tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri
back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha
huu uwekezaji huu? Mi nilishapotezaga imani na hawa watu, mpaka leo naogopa kujicommit!
Haahahaha....nadhani hichi ndio funga kazi! Sema wengine hua wanatongoza mpaka inakua kero dada akaamua isiwe tabu ngoja niombe na msaada wa wananchi!
<br />dunia ya leo mwanamke akupige kibuti kwa kosa gani? Labda kama unaumwa ugonjwa wa kuanguka majukwaani
huwa wanafanikiwaga hao! Kuna jamaa aliambiwa hata aende kwa mganga hawez kumpata, lakini mwisho akajikuta yeye yuko chni jamaa juu...lolWanaitwa ving'ang'anizi!