Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!


Hahahaaaaa! Nimecheka kama mazuri
 

hahah....!!!! Ukashindwa kutumia kipaji maalum.!!!!
 

Kama alikugonga basi yeye ni mshindi tu. Pole sana!
 

Daah i feel hw u felt.. but ol z life.
 
juzi juzi tu nilikutana na hii mashine kubwa unajua wanawake waliosoma wanamatatizo sana yaani mtoto tunaongea vizuri tu nikipiga sound jibu ni moja "Am sorry" huku ananitazama usoni akitabasamu tukibadili story anaongea vizuri sana nikimleta huku jibu ni lile lile "Am sorry kilaza" Dah najibaraguzaaa weeee jibu ni lile lile"Am sorry " "Am so sorry" badae nikimpigia anapokea Fresh tu thnachat vizuri hadi mida mibaya Nikigusia kule jibu ni lile lile mara ya kwanza nikaona mzaha nikarudisha majeshi nikaenda kujipanga lakini msimamo wa Mtoto ni uleule Dah kukataliwa hivi inauma heri angenitukana au asiniongeleshe kabisa!!!!!!
 
Usisahau

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
mie napenda kupewa vibuti maana ukisahapoa haiumi tena kuliko kupiga kibuti harafu kesho yake unamtamani tena na huwezi rudiana naye tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…