tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145

dunia ya leo mwanamke akupige kibuti kwa kosa gani? Labda kama unaumwa ugonjwa wa kuanguka majukwaani
Mh pana ukweli hapo? Basi kwangu inawezekana muda haujafika, mara nyingi ninapopenda toka moyon naambulia chaga...lol

Kweli siku hizi hakuna wa kukupiga kibuti,wote ni wa wote!!
Hiyo nayo kali, mkuu unataka kusema hujawah lambwa kibuti kabisa?dunia ya leo mwanamke akupige kibuti kwa kosa gani? Labda kama unaumwa ugonjwa wa kuanguka majukwaani
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.
Ahsante kwa ushauri bibietutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri
back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha

Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.
Mh pole sana, huku kujipa moyo kwamba ipo siku atakubali kunaponza sana

mh samtym cha kuambiwa kinauma ila mimi kunademu nilmpenda then akaja kuniambia yey anamtu tayari kama mwanaume lazima uwe kinganganizi kama kwel una nia.tatzo nayeye alionyesha dalil za kunichunguza mfano wa maswal yake kwanin unanipenda,wewe unaweza kubali mpenz wako akuache,ujawai kuwa na mpenz.mwanaume mwisho wa siku nikapigwa kibuti akaniambia SIKUPENDI NA SITAK MAWASILIANO NA WEWE KAMWE.yote haya niliambiwa face to face nikiwa nyumban kwao.nilkuwa nimemnunulia zawadi nikamkabidh akazipokea niliondoka lakn nilpofka mbal nikazma gari kama lisaa then nikapata nguvu nkaondoka.niliumia lakni nishasahau
tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho

ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti

baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu

nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha

tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho

ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti

baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu

nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu

hahhaha
aaah umenikumbusha mbali, hapo lazima uangalie backorder cost, holding & ordering cost, mwisho wa siku inabidi uminimize Total cost.tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri
back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.
huu uwekezaji huu? Mi nilishapotezaga imani na hawa watu, mpaka leo naogopa kujicommit!kwakweli binafsi kibuti ambacho sitakisahau nilipewa juzi juzi tu hapa yaan miaka kama miwili iliyo pita, inshort nilikuwa na mpnzi ambaye tulikuwa pamoja kwa kipindi cha miaka mitatu mfulilizo. mwaka wa tatu karibu na anniversary yetu ndipo alipoanza kubadilika maana tulikuwa wote ni madent wa chuo lakin tukiwa vyuo mbalimbali, kitu kilichofanya nihsi mabadiliko yake ilikuwa ni kukosa kwa hamasa juu ya siku hii ambayo miaka ya nyuma ilikuwa na hamasa sana kwake. mpaka anniversary inaisha kwakweli hali haikuwa nzuri lakin kijana nilijaribu kumvumilia tu nikiamin may b n just misukosuko ya mapenzi ya kawaida kama wapenzi wengine. lakini siku moja nikiwa nasubiri kuingia lecture simu ngeni ilipiga na nilipopokea sauti moja ya kiume ilisikika na alichosema kijana huyu ni kwamba niache kumsumbua girl friend wake na anaomba niachane naye kwani muda wangu wa kuwa naye umefika ukomo. nilijikaza nikaongea na huyu dogo mpaka mwisho, nikasema siwezi gombana na mwanaume mwenzagu kisa demu, nikasema itabidi nimwulize mhusika ili anijuze vizuri. basi baada ya lecture nilimpigia huyu mpenzi wangu na nilipomuuliza kwanza alikataa na nilipombana alikili kuwa na uhusiano na mtu huyu. nilimmind na kukata simu. siku ya pili alipiga na nilipomwuliza kwann alifanya hivyo na nn msimamo wake. alinjb kuwa ilikuwa bahati mbaya lakin asingeweza kuachana na huyo bwana kwan angemwumiza sana na hakupenda kufanya hivyo na hivyo indirect alitangaza kuachana na mimi rasmi. hk ndo kibuti ambacho sitakisahau.
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.
hawezi akamkumbuka hata kidogo, "lenyewe"na kwa njia hii ya kumpa majina mabaya huyo aliyekubuti, utasahau tu.