Mkuu usiombe ukakutana na mtu mwenye ile "too much pride"Hahahahaaa. Huyo mwanamke mtata
Hiyo sio pride mkuu. Hajakupenda. Moyo hauwekewi kiburi. Angekupenda angeshakutafuta. Ila wewe kuondoka kwenye maisha yake hakukua na effect ndo maana akaona nenda mwana kwendaMkuu usiombe ukakutana na mtu mwenye ile "too much pride"
Be specific hapa . Mwenye kujishusha hapa anatakiwa awe ni ke. Kinyume chake ni kilio na kusaga meno.Umenena vyema mkuu kun muda lzma mmoj awe mjinga ili mambo yaendelee
Mzigua90 nmependa jinsi unavyoielezea hii hali ya imbalance. Bila shaka una uzoefu wa kutosha kwenye hii field.Kama hamna mapenzi. Mwenye mapenzi zaidi ndo atakua anakutafuta asubuhi mchana jioni. Ikifika muda anaona yeye tu ndo Ana jukumu LA kukuchek anachoka anasepa
Naona mkuu untka kupingana na sheria ya asili natural law utpata tabu snaBe specific hapa . Mwenye kujishusha hapa anatakiwa awe ni ke. Kinyume chake ni kilio na kusaga meno.
Hiyo sio pride mkuu. Hajakupenda. Moyo hauwekewi kiburi. Angekupenda angeshakutafuta. Ila wewe kuondoka kwenye maisha yake hakukua na effect ndo maana akaona nenda mwana kwenda
Watu wengine wamezidi kila wakati sim na maswala kibao inafaa sasa watu kupeana time kidogo kufanya shughli muhimu.Kwanini nijipendekeze mie tu. Fanya nifanye
BTW kuna mwanaume nilikutana nae akaniambia yeye mambo ya mwanamke kuanza kumtafuta kila SAA hataki. Anataka akikaa kimya na mwanamke avimbe. Ila wale wa kila SAA bby bby hataki
kuna asubuhi mchana na jioni hata mara tatu tu kwa siku bado kuna watu watatata useme good morning wewe na usiku mwema wewe. maisha mafupi haya kuhangaika na watu wkati wengine wanakuhangaikia no no no. Raha ya mapenzi mawasiliano. mawasiliano yakilega ni wakati wa kuagaWatu wengine wamezidi kila wakati sim na maswala kibao inafaa sasa watu kupeana time kidogo kufanya shughli muhimu.
Pale mnapotulia ndio inakua wasaa mzur wa kutaftana.
Nakubali ila time nyengine lazima ue kauzu akinyamaza unakwabua akizingua unamueleza tu ukweli japokua wengi ukiwaambia huleta vijisababu.kuna asubuhi mchana na jioni hata mara tatu tu kwa siku bado kuna watu watatata useme good morning wewe na usiku mwema wewe. maisha mafupi haya kuhangaika na watu wkati wengine wanakuhangaikia no no no. Raha ya mapenzi mawasiliano. mawasiliano yakilega ni wakati wa kuaga
Vitu havina thamani isipokuwa mmevipa hiyo thamani (walionielewa wanyooshe mkono)Upo online, yupo online lakini kila mtu yupo busy na mambo yake, mnashindana nani awe wa kwanza kumsalimia mwenzake, kiburi, dharau vimejaa mioyoni mwenu, penzi lenu lipo tu kutambulisha kama nanyi ni wapenzi, hakuna raha wala amani katika uhusiano wenu kwa sababu hakuna anayetaka kujishusha, kaka zangu na dada zangu kuheshimiana na kutambua thamani ya mwenzi wako kwako ni silaha kubwa katika kuudumisha upendo wenu
Msoleka
Mi mwenyewe wa kila saa baby baby, text text hahaaa utanichosha bureKwanini nijipendekeze mie tu. Fanya nifanye
BTW kuna mwanaume nilikutana nae akaniambia yeye mambo ya mwanamke kuanza kumtafuta kila SAA hataki. Anataka akikaa kimya na mwanamke avimbe. Ila wale wa kila SAA bby bby hataki
mapenzi jamani. hampendeki nyieMi mwenyewe wa kila saa baby baby, text text hahaaa utanichosha bure