Kiburi kipo active

Msoleka

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
24
Reaction score
16
Upo online, yupo online lakini kila mtu yupo busy na mambo yake, mnashindana nani awe wa kwanza kumsalimia mwenzake, kiburi, dharau vimejaa mioyoni mwenu, penzi lenu lipo tu kutambulisha kama nanyi ni wapenzi, hakuna raha wala amani katika uhusiano wenu kwa sababu hakuna anayetaka kujishusha, kaka zangu na dada zangu kuheshimiana na kutambua thamani ya mwenzi wako kwako ni silaha kubwa katika kuudumisha upendo wenu

Msoleka
 
Msoleka tatizo ni pale unapojitahidi kujarib kujishusha lakin mwenzio wala hakutafuti hajali lolote.
Yaan yeye unampigia kelele lakin kiburi kiko pale pale. Inafika mahali unanyamaza unamwacha aendelee na yake huku ww ukitafuta anaehielewa.
 
Mimi mabinti wa aina hiyo nawapenda sana lazima atanyooka tu kwa dharau nitazomuwekea
 
Kwanini nijipendekeze mie tu. Fanya nifanye
BTW kuna mwanaume nilikutana nae akaniambia yeye mambo ya mwanamke kuanza kumtafuta kila SAA hataki. Anataka akikaa kimya na mwanamke avimbe. Ila wale wa kila SAA bby bby hataki
 
Umenena vyema mkuu kun muda lzma mmoj awe mjinga ili mambo yaendelee
Sio kua mjinga kilichopo ni kwamba. .Siku zote busara na hekima vinapotumika. .mambo yataenda vizuri ..kiburi na dharau havina faida yoyote sana sana watu watazidi kuumizana kihisia
 
Ila kujishusha pia kuna Mwisho mkuu. Yani Mimi ndo nikutafute wewe tu? Kwa kifupi asiemtafuta mwenzie Hana mapenzi na wala hajali.
Jamii zetu za ki Africa zimetawaliwa na negativity sana sio wanawake sio wanaume kila mmoja anataka,aonekane yeye ndo wa muhimu kuliko mwenzake but ukikutana na grown up couples huwez kutana na issues km hz
 
Jamii zetu za ki Africa zimetawaliwa na negativity sana sio wanawake sio wanaume kila mmoja anataka,aonekane yeye ndo wa muhimu kuliko mwenzake but ukikutana na grown up couples huwez kutana na issues km hz
Upendo tu mkuu. Kwanza mkipendana hamuwezi discuss issue ndogo Kama hii ya nani aanzs kumtafuta nani. Mmoja asipompenda mwingine haya lazima yaonekane.
 
Upendo tu mkuu. Kwanza mkipendana hamuwezi discuss issue ndogo Kama hii ya nani aanzs kumtafuta nani. Mmoja asipompenda mwingine haya lazima yaonekane.
Kwanini tusitaftane, huo ni utoto wa hali juu!!!
 
Naona ni kudharauliana tu na mmoja kuamini mwenz wake hawezi ishi bila yeye

Sometimes unaweza jishusha mpaka ukahisi haurefuki kisa tu ku mplease mtu bora unaona bora na wewe ukaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…