Konny Joseph
Senior Member
- Aug 28, 2016
- 127
- 213
Hii inaleta picha gani kwa jamii labda??
Kila shughuli ina mahali pake, njooni hapa getini mirambo na maspika yenu tuabudu vizuri mpaka jogoo wa petero awikeMoyo wangu umevunjika vipande vipande
Fafanua?Askari yupo sahihi 200%
Tujikite kwenye mada bwasheeFafanua?
Mbona tunaona maccm yanavunja Sheria hovyohovyo na wala hayachukuliwi hatua?
Umeona wapi nisahihi watu wabebwe kwenye maroli ama ma tractor? Hukuona kwenye uchaguzi(kampeni)?
Kwanza hatujalimitiwa kuwa tusitoke nje ya madam hilo ni1Tujikite kwenye mada bwashee
Hapa siyo CCM vs MTUMISHI bali ni MTUMISHI vs POLISI
Askari kamwambia kwa uungwana bwana sogea mbele kidogo ukatangaze injili sasa kosa la askari ni nini
We unaweza kwenda kupiga injili kwenye lindo la benki...?
Uhakika kabisa ...jama anajua anachokifanya na katika mazingira yoyote...kitendo Cha police kuanza vitisho eti nikuweke humu ni udhihirisho mkubwa kuwa police wengi ni wajinga sana wao na wake zao pia watume zaoIla dogo kawaweza sana! Amekuwa humble down to earth, akawamaliza kabisa! Amewaachia tafakuri kubwa sana
Nimejifunza..umaskini wa fedha na fikra huwa ni vitu vibaya sana.Ila dogo kawaweza sana! Amekuwa humble down to earth, akawamaliza kabisa! Amewaachia tafakuri kubwa sana
ndio kamwambia kiungwana hivyo?Tujikite kwenye mada bwashee
Hapa siyo CCM vs MTUMISHI bali ni MTUMISHI vs POLISI
Askari kamwambia kwa uungwana bwana sogea mbele kidogo ukatangaze injili sasa kosa la askari ni nini
We unaweza kwenda kupiga injili kwenye lindo la benki...?
jina la uzi haliendani na videoMfano wa askari wasio kuwa na akili
Kijana mdogo kamshinda kwa akili na maarifa ya kuwasiliana
Wangeweza kuwa na mjadala mzuri sana kuliko kusema "nikuweke ndani"
Askari yuko sahihi, labda tu ni lugha aliyotumia ndio ngumu kidoogo.
Kosa lake ni nini?Askari yupo sahihi 200%