Kibu ni mali

Kibu ni mali

Mbona hamueleweki, mkiletewa takwimu za mtu kama Ahoua hamtaki...

haya sasa mtu Kazi kama Kibu anayeweza kuvuruga beki line ya timu yeyote,hamtaki...tuwaelewaje?

Haya , Kimataifa anapambania ufungaji bora, mpaka sasa ana goli 4 pia hamtaki..!

Dah,Mwaka Wa Tabu...!
Nimeomba takwimu za kibu hapa unaleta mada za ahoua kweli boss?

Anapambania ufungaji bora una uhakika?
 
Mbona hamueleweki, mkiletewa takwimu za mtu kama Ahoua hamtaki...

haya sasa mtu Kazi kama Kibu anayeweza kuvuruga beki line ya timu yeyote,hamtaki...tuwaelewaje?

Haya , Kimataifa anapambania ufungaji bora, mpaka sasa ana goli 4 pia hamtaki..!

Dah,Mwaka Wa Tabu...!
Watakujibu ..."HATUCHEZI"...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom