Kibosho School Of Nursing Yatisha Kwa Ufisadi waziri Husika liangalie hilo

client

JF-Expert Member
Dec 13, 2015
619
1,000
Kwako waziri wa afya bw kingwangwala

Kibosho school of nursing ni chuo kinachomilikiwa na kanisa katoliki,chuo hiki kimegeuka kero kwa wanafunzi kwani hudahili wanafunzi wengi kuliko uwezo wao,chuo hiki kina mikondo 3 tu madarasa huku ikiwa na jumla ya madarasa 9 ya kufundishia na waalimu wanne tu,chuo hiki kimekuwa kikirudisha wanafunzi wa in service majumbano pasipo kufuata utaratibu kutokana na uchache wa madarasa na tamaa ya pesa,pia chuo hiki kimesababisha baadhi ya wanafunzi kulala nje kunakofanya wajihusishe na shughuli haramu ikiwamo ngono na kujiuza,pia chuo hicho kimeshindwa kukamilisha mabweni ya wanafunzi kutokana na ufisadi unaokadiriwa kufikia mil 500 pesa za ufadhili kutoka japan uliofanywa na mkuu wa chuo devota shayo,pia chuo hicho kimekuwa kikitoza ada kiholela tofauti na mwongozo wa nacte,pia mwalimu wa nidhamu bw.messe ameshiriki matukio kadhaa ya kutoza wanafunzi pesa eti kwa makosa ya kinidhamu pamoja na rushwa ya ngono,ipo mifano mingi ya wanafunz waliotoa mimba na kudhoofu kulingana na udhalilishaji huo.TUNAOMBA WIZARA YA AFYA IINGILIE KATI KWANU WAZAZI NA WANAFUNZI WANATESEKA
 
Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,718
2,000
Acha udaku

Unajielewa kweli wewe au unafikiri mwanafunzi wa chuo ni wa kufungiwa bwenini kama upo nursery

Kama umeshindwa kusoma rudi nyumbani taaluma ni nyingi kwanza mwanaume unasomea unesi ili iweje(pole kwa hilo)

Chuki zako binafsi usitake kutuaminisha upuuzi huku

Ukishakua utaelewa nini maana ya elimu ya juu
 
Tatizo wewe hujielewe its college not university oky?wanafunzi 3 wanalala kitanda kimoja??madarasa 3 wanafunzi 250?kero ziko nyingi mno tunaomba waziri na wizara iingilie kati
 
Unamaanisha nini sasa,tatizo umekariri hadi upate digrii ndio ujione wa chuo ww

Acha kuhangaika na yasiyokusaidia,soma zako ukasaidie jamii huko hayo ni yatokanayo
 
client

JF-Expert Member
Dec 13, 2015
619
1,000
Unamaanisha nini sasa,tatizo umekariri hadi upate digrii ndio ujione wa chuo ww

Acha kuhangaika na yasiyokusaidia,soma zako ukasaidie jamii huko hayo ni yatokanayo
Ndugu yangu mimi mkazi wa kibosho naona mateso ya watu hali ni mbaya sana chuoni jaribu kuchunguzs utalia
 
ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,436
2,000
Malalamiko ungepeleka kanisa katoliki, Nacte na Wizara ya Elimu sio kwa Kigwangala
Ndio nyie yakitokea majanga ya ufujaji wa pesa na mali za wananchi na taasisi za umma na binafsi,mnakuwa wa kwanza kuinyoshea serikali kwa kushindwa kutatua kero za wananchi!
Kwani taarifa hii inautofauti gani na taarifa za ufisadi bandarini,air port jnik?mbona tuliwapongeza wale whistleblowers!why not this one!?sijasema kuwa mtoa taarifa yu sahihi au chuo kina makosa!ila habari hii inaipa serikali urais kushughurikia kero hii kupitia wizara ya afya,ambayo inasimamia swala la afya kwa mapana yake!
Acha udaku

Unajielewa kweli wewe au unafikiri mwanafunzi wa chuo ni wa kufungiwa bwenini kama upo nursery

Kama umeshindwa kusoma rudi nyumbani taaluma ni nyingi kwanza mwanaume unasomea unesi ili iweje(pole kwa hilo)

Chuki zako binafsi usitake kutuaminisha upuuzi huku

Ukishakua utaelewa nini maana ya elimu ya juu
halafu yakitokea majanga,mnaanza kuibebesha zigo la lawana serikali,na watu kuwa kimya!
Badala ya kuitumia habari hii kama clue ya kujua ukweli wa pande zote mbili,nyie mnamuvunja moyo!
Hii sio vyema hata kidogo!
 
ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,436
2,000
Ndugu yangu mimi mkazi wa kibosho naona mateso ya watu hali ni mbaya sana chuoni jaribu kuchunguzs utalia
mkuu,hongera na usivunjike moyo Naibu Waziri Dkt Kigwangala,atalishughulikia jambo hili!
 
client

JF-Expert Member
Dec 13, 2015
619
1,000
Ndio nyie yakitokea majanga ya ufujaji wa pesa na mali za wananchi na taasisi za umma na binafsi,mnakuwa wa kwanza kuinyoshea serikali kwa kushindwa kutatua kero za wananchi!
Kwani taarifa hii inautofauti gani na taarifa za ufisadi bandarini,air port jnik?mbona tuliwapongeza wale whistleblowers!why not this one!?sijasema kuwa mtoa taarifa yu sahihi au chuo kina makosa!ila habari hii inaipa serikali urais kushughurikia kero hii kupitia wizara ya afya,ambayo inasimamia swala la afya kwa mapana yake!

halafu yakitokea majanga,mnaanza kuibebesha zigo la lawana serikali,na watu kuwa kimya!
Badala ya kuitumia habari hii kama clue ya kujua ukweli wa pande zote mbili,nyie mnamuvunja moyo!
Hii sio vyema hata kidogo!
Tell them thank you
 
Orundo

Member
Dec 22, 2016
32
95
Acha udaku

Unajielewa kweli wewe au unafikiri mwanafunzi wa chuo ni wa kufungiwa bwenini kama upo nursery

Kama umeshindwa kusoma rudi nyumbani taaluma ni nyingi kwanza mwanaume unasomea unesi ili iweje(pole kwa hilo)

Chuki zako binafsi usitake kutuaminisha upuuzi huku

Ukishakua utaelewa nini maana ya elimu ya juu
Kwani mwanaume hawezi kua muuguzi,, !!!!???? We wapi wew af unaeza kuta yeye hasomi iyo coz yey kafikisha ujumbe tu
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
3,998
2,000
Kwako waziri wa afya bw kingwangwala

Kibosho school of nursing ni chuo kinachomilikiwa na kanisa katoliki,chuo hiki kimegeuka kero kwa wanafunzi kwani hudahili wanafunzi wengi kuliko uwezo wao,chuo hiki kina mikondo 3 tu madarasa huku ikiwa na jumla ya madarasa 9 ya kufundishia na waalimu wanne tu,chuo hiki kimekuwa kikirudisha wanafunzi wa in service majumbano pasipo kufuata utaratibu kutokana na uchache wa madarasa na tamaa ya pesa,pia chuo hiki kimesababisha baadhi ya wanafunzi kulala nje kunakofanya wajihusishe na shughuli haramu ikiwamo ngono na kujiuza,pia chuo hicho kimeshindwa kukamilisha mabweni ya wanafunzi kutokana na ufisadi unaokadiriwa kufikia mil 500 pesa za ufadhili kutoka japan uliofanywa na mkuu wa chuo devota shayo,pia chuo hicho kimekuwa kikitoza ada kiholela tofauti na mwongozo wa nacte,pia mwalimu wa nidhamu bw.messe ameshiriki matukio kadhaa ya kutoza wanafunzi pesa eti kwa makosa ya kinidhamu pamoja na rushwa ya ngono,ipo mifano mingi ya wanafunz waliotoa mimba na kudhoofu kulingana na udhalilishaji huo.TUNAOMBA WIZARA YA AFYA IINGILIE KATI KWANU WAZAZI NA WANAFUNZI WANATESEKA
Ninachokiona kwa kuangalia maandishi yako kwa makini yawezekana wewe ni
1.mwalimu wa hapo uliyekosa nafasi na kugeuka kuwa mwanaharakati uchwara

2. Ama ni mwanafunzi ambaye umeadhibishwa ama umesimamishwa masomo kwa ukorofi wako sasa umekuja mahakama ya mtandaoni

3. Ama ni mzazi au ndugu wa mwanafunzi mkorofi aliyeshindwa masomo kwa nidhamu mbovu sasa nyumbani amekuwa mzigo sasa umelileta shauri lake hapa " The privy council ''
 
Hapana ndo mana nkatoa angizo mamlaka zikafanye uchunguze ibainike cna faida yoyote kufanya uchochezi mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom