Kibonzo; Sasa ni zamu ya mikoa

kuna kiumbe kinaitwa sabaya kule Kilimanjaro/Hai, kuna kiumbe kinaitwa sijui nini kule Iringa kilishawahi kuamkia makaburini kwa sayansi ya kihehe, na kiumbe kinakula bange kule mbeya. Rais anatakiwa awapunguze kabisa mabega kwasababu wamechafua sana sura ya serikali, walikuwa na kiburi kilichozidi kiwango na hadi leo watz wengi wana hasira nao.
 
Lazima wang'oke
Wengine wa kung'olewa, RC Njombe,RC Mwanza, RC mbeya, RC Iringa, RC Geita, RC morogoro, madc wa kung'olewa Dc nyangwale,dc Kahama,dc chunya,dc ikungi, dc simanjiro,dc Tarime, dc nzega, dc igunga,dc same,dc siha, dc arusha mjini, dc bukombe, dc chato, dc kilosa, dc handeni, dc Rombo, dc kiteto, dc meru, dc Hai, dc Geita mjini,Das Geita mjini, das moshi ,
 
Nimewasikia maombi yenu nitamwambia mama Samia
 
Mmhhh!!!!,Wewe jamaa hao wote umewafuatilia utendaji kazi wao??.
 
Mkurugenzi jiji Mwanza nijeuri sana, tunaomba Mama pitisha jicho lako bila kusahau Dc Ukerewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…