Nakuona Best umefurahi kweli
Ndio bestakee huyo maa kanifurahishaNakuona Best umefurahi kweli
Hahah sawa bestNdio bestakee huyo maa kanifurahisha
Pole sana hunijui vema niliingia JF kupitia MMU kisha nikatrend sana jukwaa la picha.. Hili ulilonikuta nalo ndio kama naiaga JF
usiumize kichwa angalia mwaka aliojiunga JFPole sana hunijui vema niliingia JF kupitia MMU kisha nikatrend sana jukwaa la picha.. Hili ulilonikuta nalo ndio kama naiaga JF







Nimecheka sana hadi nimeshushia na juice
Nyanya Rukia
Umeharibu sasa, leo j5 ulitakiwa ushushie na j gwara.Nimecheka sana hadi nimeshushia na juice
Za kiumenguvu za nn ?