WajameniHahaha bwana wille ngele anatapika mapesaaaa
from Katesh using Siemens C55
Teh teh...mzee ana maneno. Nahisi atakuwa mhenga wa baadae.hatari sana asee! mkuu alisema zitakuwa zinatokea sehemu yoyote yenye uwazi!
Hivi simu za Siemens bado zipo?Hahaha bwana wille ngele anatapika mapesaaaa
from Katesh using Siemens C55
Chenge hawezi fanya ujinga km huo......yeye ataomba kupelekwa mahakamani