Thanx for this...umeliweka hili jambo vizuri sana, ni matumaini yangu CDM wataanzia hapa na kuacha kauli zao za kishabiki na kunishambulia.Nafikiri wapenzi na mashabiki wa Chadema hapa JF hamna haja ya kumshambulia Rejeo kiasi hicho, kama mkiitizama kauli au mawazo yake kwa upana zaidi yana mashiko ndani yake! Rejeo you are right you most people are curious to know the mechanism Chadema will use to control the so called "Fisadis", afterall even though it is true that curiosity killed the cat, but it is also true that the same curiosity make a good scientist! kama Chadema wanataka kufanya mambo yao kisasa zaidi wawe curious kama Rejeo, wasiwafurahie tu hawa "wana wapotevu" waliokuwa wanakula na nguruwe ugenini, na sasa wameamua kurudi kwa baba kuomba radhi, jambo wafanywe watumishi!
Kinachonitatiza ni kwamba, kwanini CDM wanakurupuka kuwapokea bila hata kufanya analysis na kama kuwa interview hawa watu ili wafahamu kilichowatoa CCM ni nini? Kumbuka kama hawa watu walikuwa Tatizo ndani ya CCM na huko CDM wanaenda kuongeza matatizo tena,,
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...
:bange::A S-coffee::A S-confused1:
Nikiangalia Viongozi wengi waliopo CDM kwa sasa ni wale walioshindwa ndani ya CCM. Ukiangalia mfano Dr Slaa, the way anavyo act ni kama vile ana kisasi na chuki na CCM kwasababu ya kutoswa. Siyo kwamba ana machungu na nchi yake. Ukiangalia watu kama akina Shibuda kama ulivyosema, wengi wameingia CDM baada ya kuwa losers ndani ya CCM.Umesahau kitu kimoja wahamiaji wamekuwa wakitoa sababu za kuhama, piaMtanzania ana haki ya kujiunga na Chama chochote bila kuzuiliwa, tatizo nadhani kumpa fursa ya kuwatumikia wananchi. Na vigumu kumhukumu mtu ilihali kwenye chama anachotoka hajafukuzwa kwa kuwa na Tabia mbaya. Ulisemalo ni changamoto sana nani alijua kwamba Shibuda utakuwa mzigo chadema? nani alijua Kafurila ataendeleza tabia zilizo muondoa Chadema? Rejao tuiombee chadema isije ikawa ni hujuma nyingine dhidi yao
Irrelevant examples!Nikiangalia Viongozi wengi waliopo CDM kwa sasa ni wale walioshindwa ndani ya CCM. Ukiangalia mfano Dr Slaa, the way anavyo act ni kama vile ana kisasi na chuki na CCM kwasababu ya kutoswa. Siyo kwamba ana machungu na nchi yake. Ukiangalia watu kama akina Shibuda kama ulivyosema, wengi wameingia CDM baada ya kuwa losers ndani ya CCM.
Toa uthibitisho wako kwa hili otherwise wewe ni kama Wassira tu, kichwa kamasi.Katibu wenu mkuu kafisadi sana kanisa katoliki...
Nikiangalia Viongozi wengi waliopo CDM kwa sasa ni wale walioshindwa ndani ya CCM. Ukiangalia mfano Dr Slaa, the way anavyo act ni kama vile ana kisasi na chuki na CCM kwasababu ya kutoswa. Siyo kwamba ana machungu na nchi yake. Ukiangalia watu kama akina Shibuda kama ulivyosema, wengi wameingia CDM baada ya kuwa losers ndani ya CCM.
Katibu wenu mkuu kafisadi sana kanisa katoliki...
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...
:bange::A S-coffee::A S-confused1:
Unaona mnaanza kujikaanga wenyewe. Mimi sijamtaja mtu yeyote. Nataka tu kufahamu msimamo wa CDM kwa the so called Fisadi's tuanowafukuza kwenye chama chetu... Naona baadhi wanapokelewa kwa mbwembwe sana
Hahaha funika kombe mkuu...kaokoka huyo anastahili kupigiwa vigeregere... hahahaMtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...
:bange::A S-coffee::A S-confused1: