cocochanelCC:Mbowe
damu hizo zitawalilia hadi watoto wao wa watoto wao hadi kizazi cha nne. Mungu huheshimu sana damu ya mtu. bado ya ben saasita pia.wana roho mbaya kuliko wachawi mungu awalaani
Aibu ya watu wasio julikana
mungu ni mwema risasi 30 hatimae lissu ni mzima hakika mungu ni mwema
tumshukuru mungu kwa kila jambo
Kuna binadamu wana husda na roho mbaya hakika mungu atawaumbua.
matokeo ya albadir ni Chadema kukosa viti vya udiwani kwa aslimia zaidi ya 95Tusubiri albadiri itawaumbua tu..
Chanzo cha kukosa kwa asilimia 100 ni hiki, huyu bwana huyu hapa ndiye chanzomatokeo ya albadir ni Chadema kukosa viti vya udiwani kwa aslimia zaidi ya 95
Mkuu ngoja waje wanaomtetea maana maji aliyowanywesha anajua nwenyewe alikoyatoaMnyeshweni pombe za kijijini Mbowe siku moja atawaambia ukweli wote.. akimaliza wala msimpige mpelekeni Coco Beach juu ya mnazi akae kama sanamu tupite tumcheke kabla hawajampeleka mahabusu atakapo zeekea.
Mnyeshweni pombe za kijijini Mbowe siku moja atawaambia ukweli wote.. akimaliza wala msimpige mpelekeni Coco Beach juu ya mnazi akae kama sanamu tupite tumcheke kabla hawajampeleka mahabusu atakapo zeekea.
wahusika wengine wana frustrationAibu ya watu wasio julikana
mungu ni mwema risasi 30 hatimae lissu ni mzima hakika mungu ni mwema
tumshukuru mungu kwa kila jambo
Kuna binadamu wana husda na roho mbaya hakika mungu atawaumbua.
Yaani umepatia kabisa ikivyo upande huo.