Kibonzo cha Kipanya cha leo leo.

Kibonzo cha Kipanya cha leo leo.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751

Geez-katuni.png
 
Mi mwenyewe hua nikiskia kila kipindi ngoma inarudiwa lazma niulize vijana 'vp jamaa mzima!??'
 
Kipanya ana akili sana!
Sijui ni asilimia ngapi ya waTZ humpata vizuri huyu jamaa?
 
Aisee Kipanya ni noma sana..hii kitu nakubaliana nae kwa 100%..juzi alipokufa Geez Mabovu Redio ya Wafu kwenye kipindi chao cha mchana waliweka kipindi maalamu cha kuplay nyimbo za marehemu..wakati yupo hai hawajawahi kufanya hicho kitu..
 
Back
Top Bottom