englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
hiyo ilipoegeshwa haiwezi toka,kwa mbele kuna nafasi finyu, kwahiyo inasukumwa ili ikae mkao wa kuondoka...jamaa mafala kweli hata steps za abiria hawajarudisha, balaaa
hiyo ilipoegeshwa haiwezi toka,kwa mbele kuna nafasi finyu, kwahiyo inasukumwa ili ikae mkao wa kuondoka...
Vipi, wewe ni rubani?hiyo ilipoegeshwa haiwezi toka,kwa mbele kuna nafasi finyu, kwahiyo inasukumwa ili ikae mkao wa kuondoka...
Hapana mimi mbeba mizigo mkuu...Vipi, wewe ni rubani?
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Jamaa mafala kweli hata steps za abiria hawajarudisha, balaaa
Aisee!Hapana mimi mbeba mizigo mkuu...