Kibongo bongo mke mmoja ni kujitesa

Mapenzi ya kibongo ni wizi wizi tu , kuwa nao zaidi ya mmoja uone rangi zote.
 
Siyo kibongo bongo tu hata ulaya wanashindwa huoni wanavyo badili wanawake kilakukicha?
 
Hakuna mwanamke atakae kuunga mkono kwenye huu Uzi,,,,wote wanakataa ila wanakubali kuolewa hawana namna pale umri ukienda na hampat wa peke yake
 
Inafanana na ukweli ..maana wanaume wengi tunapga nje kwa kujificha
 
King Solomon!!
 
Kila mbuzi ula kutegemea na urefu wa kamba yake.
 
Huyo mke mmoja tu anakuhenyesha na jinsi maisha yalivyokuwa too expensive... utaweza..!!! au wataka zeeka kabla ya wakati... mtoto mdogo Babu
michepuko tunaihudumia kuliko wake zetu na watoto wao
 
Unamke mmoja alafu vimada kibao sibora ulaliashe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja tusidanganyane hapa
 
Unamke mmoja alafu vimada kibao sibora ulaliashe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja tusidanganyane hapa
Vimada ni tofauti na mke. Kimada akizingua huitaji hata kushauriwa na mtu wala vikao vya usuluhishi,unamuacha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…