bigpack1982
Member
- Apr 20, 2011
- 75
- 20
unatakiwa utoe maelezo yote aliyoyatoa mpaka kufikia hilo neno upuuzi.au aliibuka tu nakusema watu wa mtwara wapuuzi kisha hapo ikawa ndo mwanzo na mwisho wa hoja yake?miongoni mwa mambo nsiyoyapenda ni pamoja na mtu kuchomoa neno moja au mawili kwenye habari ndefu halafu akaanza kulaumu au kuwashawishi watu wamlaumu mtu flani.mfano; kuna kipindi kikwete alisema "kuliko kutumia hela zote za serikali kulipa mishahara ya watumishi wa umma tu na kutofanya mradi wowote wa maendeleo na watu wengine wote ambao si watumishi wa umma wasipate chochoche kinachotokana na mapato ya serikali,ni bora kuto wapa malipo wanayotataka ili na mambo mengine yaeze kufanyika kwa maslahi ya wote.sasa kama kwa hili watasema hawatanipa kura 2010; ni bora wasinipe ila watu wote wanufaike na pato la taifa". kuna watu wakasema ; kikwete kasema "hataki kura za wafanyakazi" unaona maana inavyobadilishwa hapo?kwa hiyo tupe hoja yake kwa ujumla sio maneno mawili.Katika kipindi cha Jahazi(Clouds FM) cha jana 3/1/2013, nilishangazwa sana na hatua ya Bw.Kibonde kuwaita wakazi wa Mtwara ni "WAPUUZI".
Kwa kufanya hivyo, amevuka mipaka hata km alikuwa na uhuru wa kutoa maoni yake.Kama mtangazaji hakupaswa kuchukua kuegemea upande
wa serikali na kupuuza maoni ya wananchi, kwa namna yoyote ile huyu mtu amekiuka miiko ya utangazaji.Ni jambo baya kutumia radio kukandamiza
kilio cha wengi kwa sababu tu yupo nyuma ya kipaza sauti.Ni bora waanzishe tafiti hata kwa njia ya kupiga simu au kutuma sms ili kusikia wananchi wanasemaje na si
kuwatusi.
Angeegemea CHADEMA mngelia kama mnavyolia humu au ndiyo kwanza mngemwagia misifa kedekede?
Angeegemea CHADEMA mngelia kama mnavyolia humu au ndiyo kwanza mngemwagia misifa kedekede?
Katika kipindi cha Jahazi(Clouds FM) cha jana 3/1/2013, nilishangazwa sana na hatua ya Bw.Kibonde kuwaita wakazi wa Mtwara ni "WAPUUZI".
Kwa kufanya hivyo, amevuka mipaka hata km alikuwa na uhuru wa kutoa maoni yake.Kama mtangazaji hakupaswa kuchukua kuegemea upande
wa serikali na kupuuza maoni ya wananchi, kwa namna yoyote ile huyu mtu amekiuka miiko ya utangazaji.Ni jambo baya kutumia radio kukandamiza
kilio cha wengi kwa sababu tu yupo nyuma ya kipaza sauti.Ni bora waanzishe tafiti hata kwa njia ya kupiga simu au kutuma sms ili kusikia wananchi wanasemaje na si
kuwatusi.
Hoja ya msingi hapa ni jinsi Kibonde alivyowaita wakazi wa Mtwara "WAPUUZI" kwenye chombo cha habari ambacho kinasikika Eneo kubwa la Tanzania.
Neno "WAPUUZI" alikuwa zuri kutumika Redioni,na hii haihitaji kujua saana sheria za vyombo vya habari kujua kwamba ni sawa au si sawa kutumia neno hili redioni katia njia ambayo dhahiri ni ya kudharau watu wa Mtwara
Suala hapa si kutafuta redio nyingine ya kusikiliza kwakuwa in many cases it is beyond our control ni redio gani usikilize(imagine you are in Public Transport na dereva kaweka hiyo radio ambayo hutaki kuisikiliza na abiria wengine wanataka kuisikiliza,etc) kwa hivyo inakuwa ngumu kusema utakwepa kusikiliza radio fulani 100%.Kimsingi alipaswa kutotumia neno hilo kwakuwa halikuwa zuri na pengine linachochea zaidi hasira kwa wana-Mtwara na watu wengine kiujumla.
Suala la maadili sio "choice", it is "mandatory" to stick to.
Mwandishi wa habari unapotakiwa kutoa maoni unatakiwa utoa maoni kulingana na hoja yenyewe na sio kuingiza maneno mengine ambayo ni ya uchochezi.
Katika kipindi cha Jahazi(Clouds FM) cha jana 3/1/2013, nilishangazwa sana na hatua ya Bw.Kibonde kuwaita wakazi wa Mtwara ni "WAPUUZI".
Kwa kufanya hivyo, amevuka mipaka hata km alikuwa na uhuru wa kutoa maoni yake.Kama mtangazaji hakupaswa kuchukua kuegemea upande
wa serikali na kupuuza maoni ya wananchi, kwa namna yoyote ile huyu mtu amekiuka miiko ya utangazaji.Ni jambo baya kutumia radio kukandamiza
kilio cha wengi kwa sababu tu yupo nyuma ya kipaza sauti.Ni bora waanzishe tafiti hata kwa njia ya kupiga simu au kutuma sms ili kusikia wananchi wanasemaje na si
kuwatusi.
Kaka,
Elewa Kibonde anatafuta kazi serikalini ndio maana siku zote usimtarajie kuwa atatoa opinion inayopingana na serikali. Kwake yeye, utangazaji ni daraja tu na siyo fani kamili inayoweza ikamfanya aishi vizuri. Ukifuatilia vizuri kipindi chake na opinions zake ktk issue zinazohusu wananchi na serikali, utagundua kuwa yeye hajawahi kuwa upande wa wananchi. Tatizo ninaloliona mimi hapa ni kuwa je, Clouds FM wanawapa wananchi the Right to Respond to the allegations that Kibonde levels against them? Hili ndio tatizo kwani kila mara Kibonde huwarushia wananchi tuhuma nzito kupitia kipindi chake na wakati mwingine utafikia kudhania kana kwamba Clouds ni sehemu ya Uhuru FM ila wananchi wanayo haki ya kujibu tuhuma hizi. Je, Clouds wanao huo utaratibu?
Baada ya kusema haya, nimeona ktk hili niwe upande wa Kibonde, kama ambavyo nimesha-post kwenye one of my earlier posts. Neno WAPUUZI, linatokana na neno PUUZA. KU-PUUZA ni kutotilia maanane au kutoheshimu kitu, mtu, jambo fulani. Hivyo basi, kusema wananchi wa Mtwara ni WAPUUZI, siyo tusi. Ni sawa na kusema Wananchi wa Mtwara wameamua wasiheshimu mambo fulani na mimi naamini kweli ktk maandamano yao, wananchi wa Mtwara wamepuuzia a lot of issues walizotakiwa wazi-analyse vizuri kabla ya kuandamana. These are the very same issues that are giving the government nafasi ya kujibu hoja za wanaMtwara kiurahisi zaidi.