Kibonde na zitto

Mnampa sifa kumjadili mtu kama huyu Kibonde anaekula kwa kusema ulongo...
 
Achana na kibonde, "o Level" ana D 2 zingine zote ana F. Sijui hata clouds wamemwajili kwa kigezo gani!
 
Uhuru wa kutoa maoni! wekeni maoni yake hapa nasi tuyaone maana mchangia kisichoelewa au ambacho mnakielewa wenyewe!
 
Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tena


Hivi bado kuna mtu anasikiliza kipindi cha jahazi!! kakiharibu na wenyewe wanamwacha tu! bp, xxl na sport extr ndiyo bado vipindi vinavyoongozwa na watu wanaoamini kuwa clouds ni radio ya watu ie watu wote!! lakini hiki cha jahazi toka kaondoka Captain kwisha kazi! walimletea wele wadada wawili kibonde akawa anacheka cheka tu ka zuzu. Jamaa wakaistukia wa Mleta kayanda ye ni mjanja anamwachia tu avurunde ili ajimalize mwenyewe.
 
Nafikiri hana mshauri! au anaoversmart na kazi yake! anapaswa kujua hizi siasa anazojiingiza kwake kunafaida ndogo sn hasa kwa kazi anayofanya angebakia katikati kuliko anavyofanya! leo kwa kuwa anafaidika yeye pengine na kampuni yake na utawala uliopo masikini wanasahau kuwa ipo siku utawala utabadilika sasa cjui ataacha kutangaza au atajipendekeza upya! any way hii yote ni kuchumia tumbo!
 
Kuna tatizo moja hapa ambalo naliona, ni kweli kibonde ANAPOTOSHA , uwezo wake wa kuchambua mambo ni mdogo, na hataki kukubali hilo! Wengi huwa wanalichukulia kirahisi rahisi kwamba kama hutaki kumsikiliza zima redio, lakini hiyo ni kwa wachache walioerevuka, vp kuhusu majority wanaotumia hiyo redio kama source yao ya habari ' ambao hatujaerevuka'!
Challenge kwa wanajamii vipi kama tuki report abuse kwa baraza la habari , maana sidhani kama claudi redio wamesaili kama ni redio yenye mlengo wa kisiasa!
 
kibonde ana matatizo binafsi na alaf anayaweka kwnye public.......bad bad bad
 


Nakubaliana na wewe Mr. Mwalu lakini sidhani kama kunachochote watakachofanywa manake JK (Joe Kusaga) kama chairman wa Clauds Inter. ni rafiki mkubwa wa JK wa white house. Ebu Kumbuka birth day jamaa waliomfanya wakati wa kampeni halafu ye akawanunulia mastering studio kwa mgongo wa wasanii wasio na uoni. Nafikiri cha kufanya hapa ni kuwapotezea tu jamaa akimaliza ungwe yake tukampata mwingine atakafuata sheria tutawanyoosha tu others bora kusikiliza redio nyingine kabisa.
 
Jamani huyu Kibonde si ni mwehu,kachanganyikiwa na ARV's anazokunywa,sasa siunajua watu wenye kale kaugonjwa wanakuwa wamekata tamaa ndio mana muda mwingine wana behave kama machizi vile.B'se they have nothing to loose.
umenichekesha sana. Hoja yako ina mantiki, pengine ni kweli usemayo nikiunganisha matukio yanayomhusu. Mi sura yake tu ndo huniboa, sijui namuonaje.
 
ndio tatizo la chadema wengi.
kila anaepinga wana mu attack....
tena mtu kama kibonde ambae anajulikana wazi ni ccm
sasa wa nini kutumia nguvu nyingi kum attack?????????

common sense is not common kwa kweli..
Suala sio mtu kupinga au kuunga mkono, inategemea unapinga nini au unaunga mkono nini? Mtu anapookoa fedha za taifa weka uchama pembeni na utetee maslahi ya nchi yako. Nyie magamba sijui mmelishwa limbwata, hata wabunge wenu wanapoihujumu nchi yenu mnaona poa kwa kuwa move imeanzishwa na CDM.... Open your eyes ndugu, Kibonde anaishi mjini kiujanja ujanja na kumpinga Zitto ndo ujanja wenyewe wa kumfanya alipwe na wanaomtumia kama Condomu, si hata Hando naye anaponda, so ni sera ya redio yao kunogesha urafiki na M.k.w.e.re
 
Rushwa,dhuruma ndiyo imejaa CCM na ndiyo inayomwaribu KIBONDE
 
Achana na kibonde, "o Level" ana D 2 zingine zote ana F. Sijui hata clouds wamemwajili kwa kigezo gani!

Sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kuwa frustrate wana CDM kata ndio vigezo walivyotumia.
 
Mimi sioni sababu ya watu webgi kumjadili kibonde anafahamika na anapenda umaarufu sana na hapo anataka aongeze umaarufu kwa mgongo wa radio hiyo.. Namwonea huruma sana kibonde
 
mi naona kibonde angehamia uhuru fm clouds inapoteza umaarufu wake kwa ajiri ya huyu mpumbavu hasa hapa udom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…