kibonde anaongea kitu asichokifahamu

kibonde anaongea kitu asichokifahamu

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Hivi clouds kwa nn unampa mic huyu jamaa, jioni kwenye Jahazi anasema' mara baada ya Lowassa kuwasiri Kibonde anadai waandishi wea redio ikiwemo ya clouds walimfuata mwenyewe Airport bila kuitwa wakati Lowassa aiita vyombo vya habari. Huyu jamaa anakashifu vyombo vya habari wakati yeye anatumia kupitia habari ya Lowassa anasoma ktk magazeti, na radio huku akijua Clouds pia walikuwepo. Ondoa mti huyu
 
Hon. Edward Ngoyai Lowassa ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Ukweli mchungu ila inabidi uumeze hivyohivyo.
 
Ukitaka kuwa na mafanikio kwenye siasa za bongo inabidi uwe upande wake, bila hivyo lazima uangukie pua. Lowasa kajiimarisha sana kwenye kila idara
 
Nillijua tu nikiingia jf nitakuta thread ya Kibonde,hata mi nasikiliza ila muwe mnampuuza anaona sifa mnavyomuandika.
 
KIBONDE=Kiswahili cha mtaa means Lofa, mjinga na hana lolote. Huenda jina lake na matendo/ maneno yake huakisi anachokiwaza, by the way huyu jamaa alishanichefua tangu siku nyingi sana (esp) katika harakati za uchaguzi mkuu 2010 alikuwa anazungumza upuuzi mtupu na akanifanya nigundue kuwa ktk Clouds FM naweza kusiliza vipindi viwili tu (sports extra na xxL).
 
Jina lenyewe Kibonde, unategemea nini zaidi ya pumba?
 
Jamani kibonde ndo anatafuta chakula ya watoto,hata ukimpa laki moja,unamshika **** anakubali,wanaume wa namna hii wapo,kujipendekeza kwao ndo maisha.
 
KIBONDE=Kiswahili cha mtaa means Lofa, mjinga na hana lolote. Huenda jina lake na matendo/ maneno yake huakisi anachokiwaza, by the way huyu jamaa alishanichefua tangu siku nyingi sana (esp) katika harakati za uchaguzi mkuu 2010 alikuwa anazungumza upuuzi mtupu na akanifanya nigundue kuwa ktk Clouds FM naweza kusiliza vipindi viwili tu (sports extra na xxL).

Copy and paste.
 
Si nasikia kuwa huyu ndugu huwa anaumwa-umwa! Yawezekana kaugonjwa kalipandisha homa!
 
KIBONDE=Kiswahili cha mtaa means Lofa, mjinga na hana lolote. Huenda jina lake na matendo/ maneno yake huakisi anachokiwaza, by the way huyu jamaa alishanichefua tangu siku nyingi sana (esp) katika harakati za uchaguzi mkuu 2010 alikuwa anazungumza upuuzi mtupu na akanifanya nigundue kuwa ktk Clouds FM naweza kusiliza vipindi viwili tu (sports extra na xxL).
Hivi Kibonde ni jina lake au kuna mtu alimtukana huko shule kwa ukilaza afu jina likashika. Huwa linaongea tu. Sisikilizi walakuangalia clouds sababu yake. Damn you Kibonde.
 
Ukitaka kuwa na mafanikio kwenye siasa za bongo inabidi uwe upande wake, bila hivyo lazima uangukie pua. Lowasa kajiimarisha sana kwenye kila idara

Ndio maana unajikomba kwake? Bora umejisemea ukweli wako (japo naamini hukukusudia kuusema ukweli huu)
 
Kibonde...kibonde kila wakati, nae anapanda chati kwa kujadiliwa JF kila wakati wakuu. Mpotezeeni huyu:A S 13:
 
Nilitaka kushangaa mwezi huu upite bila Kibonde kujadiliwa...!!
 
Nilimsikiliza siku moja acha kichwa kiume, sirudii tena.
 
Kama umeshakula kakojoe ukalale toto wewe.
Yaani wee jamaa kila thread inayomuhusu Lowassa ni lazima utokee!....duu kazi unayo
ndugu yangu. Hivi uoni kama inajichoresha? Mkuu za mbayuwayu changanya na zako.
Shame on u
 
Back
Top Bottom