'Kiboko ya wachawi' anatutukana sana watanzania

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,468
Reaction score
5,022
Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau.

Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya kufukuzwa,kwamba alikuwa anachukua laki tano tano ili kumuona.

Kuna muda mpaka mtu unapigwa na mshangao,huyu alikuwa na miujiza gani kiasi kwamba watu walikuwa wanafulika?

Leo hii wote tunatukanwa kupitia yeye,ndugu zetu basi nanyi mjiongeze,sio mtu anatoka anauza udongo tayari,anauza mchanga ukauweke nyumbani kwako ili upate gari kwa miujiza tayari.

TUMIENI UBONGO KUTOFAUTISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…