Kiboko ya sumaye

KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Waliomwita Mr.Zero hawakukosea na yale masikio yake hamna kitu kabisa yule mzee.
 
Waliomwita Mr.Zero hawakukosea na yale masikio yake hamna kitu kabisa yule mzee.

Yaan sumaye anavyojifanya anajua kuongea jukwaalakin huwez kuamn mary nagu ndo kiboko ya sumaye
hahahaaa
 
Haaaah jamaa ana mvuto kafikiri balozi wa nyumba kumi
 
Kwani ukiwa pm ni lazima uwe rais? Kumnyonga lowassa kulihitajika na vigogo wengine pia kwenda na maji.
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Naona bi mdogo umeanzisha mada halafu unajijibu kwa kutumia 'identity' zako tofauti. Kisa Sumaye anakufanya uwashwe tackle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…