Yaan anasema eti mi nimekuja kutoa maelekezo ya kuongoza serikali,wakat we haupo serikal ilikuwa inaongozwa na nani?na huko ulipokwenda kwani hakuna viongozi?na je una uhakika gani kama watashinda?Ziroooo kabisa
Upo swa wote wapiga dili tusumaye ametekwa na EL, Gari yake ilikamatwa na meno ya tembo akajitetea kua ni mbinu za bwana EL kumzoofisha kisiasa, na amk
ekili kua endapo EL Atachaguliwa kugombea urais yeye angehama cha ili kumkimbia, inamaanisha anamuogopa. iweje leo atembee nae kila mahari kumsafisha! na kuthubutu hata kumkashifu rais aliefanyanae kazi miaka 10 na kuwa waziri mkuu bora aliefanyakazi kwa vipindi vyote viwili.KWA MTAZAMO WANGU NAHISI KUNAVITU VIKUBWA ZAIDI BWANA EL ANAVIJUA KUHUSU SUMAYE NA LABDA ANGEKATAA KWENDA KUMSAIDIA BWANA EL ANGEFUMUA MENGI KUTOKA KWA SM.na ndio maana nasema mzee huyo atakua katekwa bila ya watu kujua.
sumaye ametekwa na EL, Gari yake ilikamatwa na meno ya tembo akajitetea kua ni mbinu za bwana EL kumzoofisha kisiasa, na amekili kua endapo EL Atachaguliwa kugombea urais yeye angehama cha ili kumkimbia, inamaanisha anamuogopa. iweje leo atembee nae kila mahari kumsafisha! na kuthubutu hata kumkashifu rais aliefanyanae kazi miaka 10 na kuwa waziri mkuu bora aliefanyakazi kwa vipindi vyote viwili.KWA MTAZAMO WANGU NAHISI KUNAVITU VIKUBWA ZAIDI BWANA EL ANAVIJUA KUHUSU SUMAYE NA LABDA ANGEKATAA KWENDA KUMSAIDIA BWANA EL ANGEFUMUA MENGI KUTOKA KWA SM.na ndio maana nasema mzee huyo atakua katekwa bila ya watu kujua.
Huyo sumaye hata kama hagombei huwa anaongea nini majukwaani?
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha
Hivi kwanini hatuoni ukawa wakianzisha viuzi vya hovyo hovyo hivi. Sumaye anagombea nini?