Kiboko ya Sokoine

Kiboko ya Sokoine

Mkuu RRONDO, gari iliyokuwa ikiitwa Kiboko ya sokoine ni hiyo niliyoiweka hapo juu. Hawa jamaa waliozaliwa juzi kati wakati huu wa digital wanajifanya wanajua sana kumbe 0 kabisa.
Gari kama hiyo ndio ilisababisha ajali iliyopekekea kifo cha sokoine.

Nakumbuka gari flani za polisi zilikuwa zikiitwa "tetrasycline"(speling) zikiwa na rangi ya manyano na nyeusi. Gari ilikuwa ni aina ya Volkswagen golf. Ndio maana kila gari ndogo ya polisi wanaita golf.
Sio hii?

image
 
Ila tumetoka mbali,hizo gari enzi hizo ndo zilikuwa juu
 
Hiyo heading sio ya kiungwana kabisa.

Tuonyeshe heshima kwa Marehemu, na alikuwa Kiongozi.
 
Hii ni TOYOTA JF40. Almaarufu "Kiboko ya Sokoine". Gari hio ilitengenezwa 1978. Gari kama hii ndio ilisababisha ajali iliyopelekea kufa kwa aliyekuwa waziri mkuu Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine 12.04.1984 kule morogoro. View attachment 811180View attachment 811181
Siyo kweli mkuu,gari iliyosababisha ajali iliyopelekea kifo cha mkuu Sokoine ni Toyota landcruiser zile za gia3 alafu ilikuwa ni bakkie,nkipata picha ntakuwekea.
 
Back
Top Bottom