Kibobo na wanawake wa Dar

Kibobo na wanawake wa Dar

We endelea tu. Siku nikikukamata ntakutandika na mkongojo wangu mpaka uombe poo...

Na nilivyo na roho nzuri sikusamehi mpaka upate mimba ya mapacha watatu na robo


Aaahahhahahahaaa umenikumbusha wimbo wa ona sasa ona....
Mtoto mtamu simuachi, .... Naomba poo.... Aahahahahahhaa

Na hao mapacha wakizaliwa anenda kulea Sky sio...maana kubaki nyumbani wakati vyuku na vuruga zinapatikana maeneo Hata sikubali heheheheheee
Kasie Matata.
 
Katika vitu vyoooote hiko kiungo chako ndio kimekujia mwanzo mawazoni?!!

Hahahahahhahahahaaa double R ujue nini, akili yangu na macho huwa vinashindana kutafsiri.... Kwanza akili ilisoma kiboroloni halafu ikafuta ikaishia kwenye ro

Yaani kimenijia hicho kifaa tuu, mambo ya Mahaba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom