Kibo Complex - Tegeta Sisalama Tena!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
748
Wadau mnaokaa Tegeta na viunga vya jirani, hii habari nimekutana nao FB nikaona ni share na nanyi. Kwani ukiona mwenzio ananyolewa,,...!!

KIBO COMPLEX -Tegeta!!
Wadau kiota hiki kimeingiliwa na ule mtandao wa kwapu kwapu kwenye magari mpaka ndani TSN Supermarket.
ni jana tu wame toka kuvunja kiio cha gari alikuwa akiendesha mke wangu. Ndani kulikuwa na begi dogo lenye nguo za kijana wangu, wakidhani kuna laptop!
Siku kama tano nyuma, jirani yetu ana dadake kaibiwa simu akiwa TSN katika mazingira ya utata, maana bada ya kuongea na simu kisha kuitumbukiza kwenye pochi dakika 10 nyingi, imekwenda!
kibaya zaidi nilipo wauliza walinzi hiyo jana nikaambiwa mtu aliekuwa mlinzi eneo la tukio alikimbia kuloa mvua ili hali kuna kibanda cha kujikinga na mvua. alipoulizwa ulikuwa wapi baada ya mvua kwisha, ooh mie nilikwenda upande ule(cheap/poor answers)
... alipoitwa mtu wa camera, camera katika jengo zima hapo mbele ipo moja na haioni sehemu yote ya parking ya jengo kwa mbele, hivyo gari yetu haikuonekana kwenye recorded video yao.another ---- security system plus the guy running/monitoring it.
Pia hakuwepo hapo kwenye camera, mpaka alipoitwa, na maelezo ni kwamba ikifika saa moja usiku inategshwa kuona nusu ya eneo la parking na mhusika anakula kona home kulala mpaka keshooo!!

Je, tatizo la camera kutoona eneo lote mmiliki anajua? Jibu ndio ANAJUA.
another poor responsibility.
 
Parking is at owner's risk. Cha muhimu ni kuepuka kuacha any suspicious thing garini. Mi nilishavunjiwa kioo kama 4 years ago, kwa sababu ya fuko kuubwaa lenye cornflakes na lile kopo kubwa kabisa la nido. Nilijifunza toka hapo, manake kioo nikilinganisha ba vilivyoibiwa nilijuuta!
 

sasa ukisema tusiache vitu kwenye gari, wataka kuniambia tukiwa maeneo kama hayo ushuke na mafurushi yote ulonunua plus side mirrors, powerwindo controlbox, taa za gari, radio ama niaje hapo.
ukimsoma vyema yalomkuta na majibu ya wahusika huoni kam kunauzembe unafanyika kwa kisingizio kama chako parking at ur own risk!!
Pale Kibo sijawahi ona kibao kama hicho kinacho halalisha ujinga na uzembe wa watu kuwajibika.
 
ndugu, ninachoongelea ni kuacha vitu vya kuvutia wezi kwenye gari. Mara nyingi wavunja vioo sio wanaoiba power window. Wanavutiwa na mafirushi kwenye gari. Mfano kama una laptop na unajua utazunguka weka nyuma kabisa ama weka chini ya kiti. Kuna siku nilipewa lunch box na shosti, niliitoa kwenye mfuko nikaiweka wazi kabisa. Ili wasinivunjie kioo. Nnachosema ni kuwa hata security companies wanasisitiza upunguze kishawishi. Huwezi ukasafiri ukaacha nyumba bila kufunga pazia ama blinds kisa una burgular alarms! Kama unaweza kushuka na spare tayre na taa zako na jeki, shuka nazo. Otherwise unalo!
 
pole mkurugenzi...actually mie hua naenda sana hapo ila yale maschana ya tsn yaliniboa sana mda mwingi yako idle yanafuatilia tu nani anaingia na kutoka.... ni jambo la kusikitisha sana kuibiwa ndani ya gari usawa huu mm??
 
Afadhali Kibo complex wamejaribu kuweka CCTV hata kama haishiki maeneo yote kuliko zile CCTV watu wa Mlimani City
 
Kwa kweli Wa TZ tukubali Kibo Commercial Complex ni moja ya majengo ambayo kwa hakika muwekezaji amejitahidi kuhakikisha wateja wake wanapata parking ya kutosha na ulinzi wa uhakika. kama ilivyoshauriwa ni muhimu kuhakikisha huachi vishawishi ndani ya gari lako na kuwa muangalifu unapoongea na simu. Tusikae kulaumu tu Kila kitu na wakati Mwingine tupongeze watanzania wenzetu wanapofanya mambo mazuri.
 
hapa hatukatai kwamba jamaa hajawekeza, bali mapungufu na uzembe wa staff na vitendea kazi ndio issue.
Jengo zuri unafungaje kamera ya kizamani kisha unaambiwa haioni eneo lote nawe unakubali iendelee kuwepo. pia haina msimamizi ukishafika usiku, eti anaitegesha iendelee kurecord mpaka arudi kesho asubuhi au aitwe kama kuna tatizo.hiyo cctv watu ndo kama unavyosoma hapo kwamba mtu alikimbia mvua asilowe, kuna kibanda cha nini basi?
Habari hii ina kupa mwanga hata wewe kwamba usijibweteke kwamba kuna walinzi pale basi mambo ni swari la hasha!!
 

Kumbe ushanunua gari? Mbona hukunialika kwenye pati ya kuuaga umaskini na kusafisha nyota?
 
Kumbe ushanunua gari? Mbona hukunialika kwenye pati ya kuuaga umaskini na kusafisha nyota?

na wewe kukufundisha miaka yote hiyo huoni kweli umuhimu wa kumnunulia mwalimu wako gari enh!
hata kavitz jamani
wapi Riwa
 
Last edited by a moderator:
na wewe kukufundisha miaka yote hiyo huoni kweli umuhimu wa kumnunulia mwalimu wako gari enh!
hata kavitz jamani
wapi Riwa

Hehehehe tatizo walimu wa siku hizi nikikupiga na kavitz huchelewi kusema nimekuzereu kwa kukununulia mtu mzima ka babywalker. Na nikikupiga na Prado unasema nakutaka kimapenzi. Sijui mkoje?
 
Last edited by a moderator:
Sisi tukiweka magari yetu tinted mnasema tumekuwa wahuni....Tinted inasaidia sana, mtu hawezi kuona kama kuna mtu ndani au kuna nini!!!!
 
Hehehehe tatizo walimu wa siku hizi nikikupiga na kavitz huchelewi kusema nimekuzereu kwa kukununulia mtu mzima ka babywalker. Na nikikupiga na Prado unasema nakutaka kimapenzi. Sijui mkoje?

tusianze hapa!watu wana hasira ujue oh!
ila hili litangazo la PARKING AT YOUR OWN RISK HILI!silipendagi kweli mimi sina tu jinzi(waamkaa shemeji)
yani hivi hela yangu mwaitaka kunilindia gari langu(KAMA NINALO VILE!) hamtaki ndo mambo gani haya!
 
Pole sana mkuu. na asante kwa taarifa hii.. tutakuwa makini .
 
Hata Mlimani City wanaibiwa,usitegemee mali yako akulindie mlinzi wa car parking,kila siku tunasema usiache kitu cha maana kwenye gari,chunga mzigo kaka hata nyumbani usipofunga milango utaibiwa
 
Mimi huwa nakwenda na mtu wa kumuacha kwenye gari analinda!! *****, unajua hela imeota mbawa, unapoibiwa vitu vyote ndani ya gari unaweza lipaki miezi kadhaa hujarudishia.
 
Nilifika mara moja kukagua mandhali na bei zao, nishituka kuona bei ziko juu isivyo kawaida, au sasa wamebadilika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…