yaan watu ni wajinga kwel,nyie mnakaa na kuanza kujiuliza kale kafloo kamoja na kale anakonyanyua kanyuma maswali?kale ni kadogo sana ni ka msaki,kachaga moja hivi alikuwa kuli tegeta kwa ndevu zamani,baadae akapata mtaji akafungua pale pale tegeta mashine ya kusaga sembe na ndipo alipopata vihela kidogo akaanzisha kampuni ya kufyatua matofali pale pale kibo lakini baada ya kufanya kwa muda alihama pale na kuhamia maeneo ya nadhani ni dawasa,na pale kibo watu wakajua kafilisika kumbe alikuwa anajipanga kuja kuajenga kale kafloo kamoja kanako wauma.pia anamiliki chuo cha ualimu kisanga na pia ni agent wa cement za twiga ambavyo vyote hata wewe unaweza kuvifanya.wale mnaosema ni kamjengo ka mama anna mkapa,ni kumdharirisha mama wa watu kwa sababu hawezi kumili kajumba kanyasi kama kale.fuatilia mijengo ya kishimba au lakairo mwanza,au libakhresa au limengi au lidokta slaa kule mbweni au limbowe lile linalomiliki mbez beach high skul au limama rwakatale au limohamed au li

Ukisomastory yake huitajikumwelezea unajuakabisa huyujamaa akishaafanya interview kwa...masaki....akapigwachini kajakumtolea machunguMasaki hakuwa kuli amesoma mwaka mmoja mbele yangu Ilboru special School kamaliza mwaka 1992 form 4. Hakuwa mlala hoi kama unavyosema ni middle class kama wanafunzi wengine wa Ilboru
Masaki hakuwa kuli amesoma mwaka mmoja mbele yangu Ilboru special School kamaliza mwaka 1992 form 4. Hakuwa mlala hoi kama unavyosema ni middle class kama wanafunzi wengine wa Ilboru
Ukisomastory yake huitajikumwelezea unajuakabisa huyujamaa akishaafanya interview kwa...masaki....akapigwachini kajakumtolea machungu
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi

loading.....