Kibiti: Polisi inapoamua ku 'balance' matukio kwa kukamata viongozi wa CUF.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,592
2,000
MWENYEKITI WA KITONGOJI WA (CUF) APIGWA RISASI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

Jana usiku Katika Oparesheni ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wamempiga Risasi Mwenyekiti wa Kitongoji wa CUF pamoja na raia mwingine, huko Nyamisati, Kibiti.
Mwenyekiti huyo ni Moshi Sefu Machela na ni mwanachama. Na baada ya kumpiga risasi vyombo hivyo vya ulinzi vilimkokota na kuelekea naye kusikojulikana na hali yake haijulikani.
Kinachotokea Rufiji/Mkuranga/Kibiti hivi sasa ni Dola kwenda kulipiza kisasi kwa raia wasio na hatia ( hususani Viongozi wa CUF) ili kufuraisha na kutuliza nafsi za ndugu jamaa na marafiki wa raia waliouawa ambao wengi wao walikuwa viongozi wa CCM.
Hadi sasa viongozi zaidi ya (20) wa CUF wameshakamatwa bila sababu, wanateswa na kisha kiachiwa bila kufunguliwa mashtaka. This is very bad and shameful indeed.
Unapotaka kuwafutalia JANJAWEED wanaowaua viongozi wa CCM kwa kuwatesa viongozi wa CUF unajenga visasi huko mkoani Pwani. Sijui nani anavifundisha vyombo vyetu kuwa mbinu yao hii ya kikatili na ya kuumiza watu wasio na hatia itakuwa na tija.
I am so worried kuwa taifa letu linaelekea mahali kusiko salama.
Julius S. Mtatiro
09/06/2017
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,282

mtatiro unacheza ngoma usiyoijua. hivi sasa wanakuona covinient kua na wewe lakini iko siku watakutwanga na wewe risasi. serikali ilizembea itikadi kali kuenezwa misikitini hadi mafunzo ya kivita sasa ndio tunavuna tulichopanda.
 
usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,543
2,000
MWENYEKITI WA KITONGOJI WA (CUF) APIGWA RISASI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

Jana usiku Katika Oparesheni ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wamempiga Risasi Mwenyekiti wa Kitongoji wa CUF pamoja na raia mwingine, huko Nyamisati, Kibiti.
Mwenyekiti huyo ni Moshi Sefu Machela na ni mwanachama. Na baada ya kumpiga risasi vyombo hivyo vya ulinzi vilimkokota na kuelekea naye kusikojulikana na hali yake haijulikani.
Kinachotokea Rufiji/Mkuranga/Kibiti hivi sasa ni Dola kwenda kulipiza kisasi kwa raia wasio na hatia ( hususani Viongozi wa CUF) ili kufuraisha na kutuliza nafsi za ndugu jamaa na marafiki wa raia waliouawa ambao wengi wao walikuwa viongozi wa CCM.
Hadi sasa viongozi zaidi ya (20) wa CUF wameshakamatwa bila sababu, wanateswa na kisha kiachiwa bila kufunguliwa mashtaka. This is very bad and shameful indeed.
Unapotaka kuwafutalia JANJAWEED wanaowaua viongozi wa CCM kwa kuwatesa viongozi wa CUF unajenga visasi huko mkoani Pwani. Sijui nani anavifundisha vyombo vyetu kuwa mbinu yao hii ya kikatili na ya kuumiza watu wasio na hatia itakuwa na tija.
I am so worried kuwa taifa letu linaelekea mahali kusiko salama.
Julius S. Mtatiro
09/06/2017
kuna haja ya kupeleka wale vijana wa kuvunja matofari kwa kichwa ,kwani hapa tulipofika hapana haikubariki hata!
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Mimi sii mtabiri, lakini pia sii vigumu kubashiri tukio lijalo!!!

Kuna kitu polisi watafanyiwa kiasi kwamba itawabidi wajiulize sababu ya kuendelea kuwa na vituo vyao huko.

Labda mnihakikishie kuwa zile bunduki za rashasha walizoporwa wameshazipata.
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
13,016
2,000
Huyu Mtatiro sidhani kama ni mkurya halisi. Ninavyowafahamu wakurya hawana asili ya majungu. Nakushauri mr Mtatiro muulizie mama yako akwambie baba yako halisi na ni kabila gani. Kisha ubadili hilo jina la MTATIRO. Kwani unawaaibisha wakurya

Kwani Mr Mtatiro unawafahamu wanachama wote wa cuf ya kwamba ni watu wema, hakuna mharifu hata mmoja ambae ni mwanachama wa cuf?
Wafikishwe mahakamani kama ni wahalifu,kwanini wakamatwe na kuteswa?
 
kwinyo

JF-Expert Member
May 2, 2017
281
250
Huyu Mtatiro sidhani kama ni mkurya halisi. Ninavyowafahamu wakurya hawana asili ya majungu. Nakushauri mr Mtatiro muulizie mama yako akwambie baba yako halisi na ni kabila gani. Kisha ubadili hilo jina la MTATIRO. Kwani unawaaibisha wakurya

Kwani Mr Mtatiro unawafahamu wanachama wote wa cuf ya kwamba ni watu wema, hakuna mharifu hata mmoja ambae ni mwanachama wa cuf?
Yangekua kwa Chadema usinge kebei kwa kiwamgo hiki OK kwa kua hayana mmoja muda utaongea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom