Kibinadamu hii utaitatuaje?

naungana gide mk kk akufuzae umekuja hapo kwa ndugu una mishe gani au unakaa tu
 
teh unalilia rimoti acha uboya ww? Una umri gani
 
Jf inasababisha watu wawe na uvivu au upeo mdogo wa mawazo,kila jambo jukwaani ata uking'atwa na sisimizi jf hufikirii kua ulilala bila kunawa ndomana umeng'atwa.
 
Unacheki TV mwanzo mwisho , Betri zimeisha hata hela ya kununua huna alafu unakosa adabu hata baba mwenyenyumba anaangalia taarifa ya habari wewe una badilisha Chanel unaweka Chanel five kuangalia music . bora nirudi kijiji new kachome mkaa Wa enzi
 
hivi ww s ulikuwa kidogo uingie kwenye tv mdogo wangu?
 

Ni kwamba wameshakuchoka hasa tabia yako ya kushindwa kutwa unaangalia TV hata kazi husaidii. Kibinadam tu itatue hivi, nenda ulipotoka au tafta kwako uwe unalala na TV yako chumbani kwako, sawa? By the way are you me or ke
 
Unakaa sana sebuleni kuangalia tv na inaelekea huwasaidii hata kuosha vyombo na kufagia uwanja. Sasa unachotakiwa kufanya anza kuwasaidia kupika na kazi zingine kama kunyoosha nguo n.k
 
nami ningepata mgeni kilaza kama wewe... Hadi deki ningehamisha!
 
Kakuchoka. .ndo pakuhama sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…