Kutetea uongo na dhuluma ni kazi ngumu sana🤣🤣 . Haswa ukikutana na Wakili msomi, Kibatala ni Bora sana. Lakini na yeye wakati chadema Ina migogoro na ZZK alikutana na Wakili msomi mwenzake joto aliliona. 🤣🤣
kigezo cha askari si kilekile div IV failure au wamebadili?, kule hawatumii sana akili...ni nguvu tu, mambo ya kutumia akili hawahusiki nayo...mnawaonea huko mahakamani