Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Oct 30, 2024 #81 FaizaFoxy said: Ni vyema sana, hakuna kosa kujulikana. Click to expand... Hivi ni kweli ulikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali? serious
FaizaFoxy said: Ni vyema sana, hakuna kosa kujulikana. Click to expand... Hivi ni kweli ulikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali? serious
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Oct 30, 2024 #82 FaizaFoxy said: Ulitaka niteswe na upagani? Wewe kondoo nini? Click to expand... Ajuza jibu swali
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Oct 30, 2024 #83 Benjamini Netanyahu said: Hivi ni kweli ulikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali? serious Click to expand... Siyo kweli.
Benjamini Netanyahu said: Hivi ni kweli ulikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali? serious Click to expand... Siyo kweli.
erasto Samwel JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 211 Reaction score 273 Oct 30, 2024 #84 Aiseeh yaani hata kama umenuna lazima ucheke π€£
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 Oct 30, 2024 #85 FaizaFoxy said: Ulitaka niteswe na upagani? Wewe kondoo nini? Click to expand... Mpaka ifike jumamosi lazima ubatizwe uwe mkristu na kuitwa Mery.
FaizaFoxy said: Ulitaka niteswe na upagani? Wewe kondoo nini? Click to expand... Mpaka ifike jumamosi lazima ubatizwe uwe mkristu na kuitwa Mery.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Oct 30, 2024 #86 FaizaFoxy said: Siyo kweli. Click to expand... Hapo sawa ningeshangaa sn kwamba watu walikosekana mpk ukapatikana wewe
FaizaFoxy said: Siyo kweli. Click to expand... Hapo sawa ningeshangaa sn kwamba watu walikosekana mpk ukapatikana wewe
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Oct 30, 2024 #87 Moisemusajiografii said: Mpaka ifike jumamosi lazima ubatizwe uwe mkristu na kuitwa Mery. Click to expand... Labda huelewi kuwa mkristo wa kweli ni Muislam.
Moisemusajiografii said: Mpaka ifike jumamosi lazima ubatizwe uwe mkristu na kuitwa Mery. Click to expand... Labda huelewi kuwa mkristo wa kweli ni Muislam.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Oct 30, 2024 #88 Benjamini Netanyahu said: Hapo sawa ningeshangaa sn kwamba watu walikosekana mpk ukapatikana wewe Click to expand... Kondoo lini alichoka kushangaa?
Benjamini Netanyahu said: Hapo sawa ningeshangaa sn kwamba watu walikosekana mpk ukapatikana wewe Click to expand... Kondoo lini alichoka kushangaa?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Oct 30, 2024 #89 FaizaFoxy said: Kondoo lini alichoka kushangaa? Click to expand... We ajuza ni mkorofi sn
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 Oct 30, 2024 #90 FaizaFoxy said: Labda huelewi kuwa mkristo wa kweli ni Muislam. Click to expand... Kwa hiyo wewe ni mkristu wa kweli?π€
FaizaFoxy said: Labda huelewi kuwa mkristo wa kweli ni Muislam. Click to expand... Kwa hiyo wewe ni mkristu wa kweli?π€
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Oct 30, 2024 #91 Moisemusajiografii said: Kwa hiyo wewe ni mkristu wa kweli?π€ Click to expand... Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo?
Moisemusajiografii said: Kwa hiyo wewe ni mkristu wa kweli?π€ Click to expand... Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 Oct 30, 2024 #92 FaizaFoxy said: Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo? Click to expand... Acha usanii na majibu yako kama unakaanga mchele.π
FaizaFoxy said: Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo? Click to expand... Acha usanii na majibu yako kama unakaanga mchele.π
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Oct 30, 2024 #93 Moisemusajiografii said: Acha usanii na majibu yako kama unakaanga mchele.π Click to expand... Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo?
Moisemusajiografii said: Acha usanii na majibu yako kama unakaanga mchele.π Click to expand... Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 Oct 30, 2024 #94 FaizaFoxy said: Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo? Click to expand... Sawa shangazi Mery,nimeelewa.ππ
FaizaFoxy said: Mkristo wa kweli ni Muislam. Nini usichoelewa hapo? Click to expand... Sawa shangazi Mery,nimeelewa.ππ
FROZEN HEART Senior Member Joined Sep 8, 2024 Posts 181 Reaction score 248 Oct 30, 2024 #95 Mshana Jr said: Unafahamu uzito wa karatasi?π€£ Click to expand... Kakah Samahani nna shida na Mr kibatala naipataje au nije dm
Mshana Jr said: Unafahamu uzito wa karatasi?π€£ Click to expand... Kakah Samahani nna shida na Mr kibatala naipataje au nije dm
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,774 Reaction score 11,255 Oct 30, 2024 #96 Nyerereog said: Hapo sheria iko wapi, hiyo ni common sense tu, anapataga majinga. Kibatala wa kawaida tu namfahamu tangia anasoma Mzumbe, acheni sifa za kijinga Click to expand... Acha ubishi usio na maana. Mtu anaaminiwa kupewa kesi kubwa na anashinda wewe unaleta wivu wako. Kwenye sheria hakuna maswali ya kawaida kila swali lina uzito wake na linaweza kumuondolea mtu attention ama confidence na akapoteza kesi. Wewe unadhani cross examination, examination in chief na re examination ni maswali ya kisheria yale? Sisi tuliopo kwenye profession ya sheria ndiyo tunajua anachokifanya Kibatala wewe bush lawyer baki huko huko kuwadanganya vilaz,a wenzako.
Nyerereog said: Hapo sheria iko wapi, hiyo ni common sense tu, anapataga majinga. Kibatala wa kawaida tu namfahamu tangia anasoma Mzumbe, acheni sifa za kijinga Click to expand... Acha ubishi usio na maana. Mtu anaaminiwa kupewa kesi kubwa na anashinda wewe unaleta wivu wako. Kwenye sheria hakuna maswali ya kawaida kila swali lina uzito wake na linaweza kumuondolea mtu attention ama confidence na akapoteza kesi. Wewe unadhani cross examination, examination in chief na re examination ni maswali ya kisheria yale? Sisi tuliopo kwenye profession ya sheria ndiyo tunajua anachokifanya Kibatala wewe bush lawyer baki huko huko kuwadanganya vilaz,a wenzako.
BICHWA KOMWE - JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 7,977 Reaction score 20,034 Oct 30, 2024 #97 FaizaFoxy said: Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu. Click to expand... BIBI leo umekamatika
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 21,078 Oct 30, 2024 #98 FaizaFoxy said: Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu. Click to expand... Kwani wewe ungefanyeje?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,670 Oct 30, 2024 #99 FaizaFoxy said: Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu. Click to expand... Nahisi askari mapoyoyo wapo wa kutosha tu.
FaizaFoxy said: Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu. Click to expand... Nahisi askari mapoyoyo wapo wa kutosha tu.
M MRI JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 337 Reaction score 434 Oct 30, 2024 #100 FaizaFoxy said: Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu. Click to expand... Ajuza wetu ungekuwa wewe ungeweza?CCM wote si hakuna mwenye akili
FaizaFoxy said: Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu. Click to expand... Ajuza wetu ungekuwa wewe ungeweza?CCM wote si hakuna mwenye akili