Peter Kibatala akikukuta kwenye hii angle ya kukuuliza maswali kimbia! Maana usipofanya hivyo, utaishia tu kuumbuka! Na hasa kama una elimu ya kuunga unga.
Utakuwa umejimaliza mwenyewe kwani nia ya kuuliza maswali ya dizaini hiyo ni kutaka kukutoa kwenye mstari ili uonekane ni mtu wa ovyo na ushahidi wako usitiliwe maanani, tena anaweza akamalizia hapo hapo kwa kwa ile kauli yao maarufu ya no further question your honour.