Kibarua Mbeya Mbarali

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,451
Jamaa hapa anatafuta mwenyeji maeneo ya mashine za mpunga mbeya ubaruku anataka kazi za kubeba mizigo,kupakia na kushusha.

Namba 0748144680 hata maeneo mengine ya mashine za mpunga.

 
Hizo kazi Kwa ubaruku, chimara, madibira, Rujewa na maeneo mengine yanye mashine zinapatikana. Changamoto ni kuwa wenyeji walishachukua nafasi hivyo ajitahidi kutokuchagua aina ya kibarua atafanikiwa. Akiwa na utambulisho uliokamilika na hana changamoto atokako tuwasiliane nimuunganishe.
 
N
imekutumia ujumbe pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…