Kibarua cha muda mfupi Dar

Twins love

Senior Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
114
Reaction score
161
Nimekuwa nikifanya kazi zangu na kumaliza mapema mno hivyo nakuwa mpweke sana , jambo linalonifanya niwe free sana ,natafuta kibarua chochote kitakachonifanya niwe busy nipo Dar jamani.

Nisaidieni basi
 
Mkuu ungeweka huo muda ambao unakuwa free ni kuanzia saa ngapi ili watu wajue jinsi ya kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…