Kibao hiki kipo wapi?

Waliulizwa wanafunzi bara Ulaya.,wengine walijibu Tan~sania wengine wakajibu Africa.
Je ni wepi waliokosa na ni wepi waliopatia?
Je yawezekana wote walipatia jibu?
View attachment 450828

Kwa maana ya hakuna success au achievement walikuwa karibu sana na jibu sahihi - wote walipatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…