Kibao hiki kipo wapi?

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,583
Reaction score
1,098
Waliulizwa wanafunzi bara Ulaya.,wengine walijibu Tan~sania wengine wakajibu Africa.
Je ni wepi waliokosa na ni wepi waliopatia?
Je yawezekana wote walipatia jibu?
 
Kinaelekeza kwenye kilele cha mapenzi, unapoteza muda wako na gharama ukifika unagundua 'you was going nowhere'!!!!!
 
nowhere hapo kuna tafsiri 2 no where na unaweza kuisoma now here!
 
nowhere hapo kuna tafsiri 2 no where na unaweza kuisoma now here!
Let's say ni now here.,unausikiliazaje huu mziki wa democracy now here in our country na continent kwa ujumla?Kuna direction kweli au ndio tunaendeleza kichwa cha mwendawazimu?ambapo ndio kulekule NOWHERE.
 
Kinaelekeza kwenye kilele cha mapenzi, unapoteza muda wako na gharama ukifika unagundua 'you was going nowhere'!!!!!
Haitofautiani sana na Afrika na Tizii ikiwa ndani yake.,bila umoja imara tunafikiri tunakimbiza kumbe ndio tunazidi kuzama.
 
Kama kipo Jf kitakuwa kinasomeka Now Here.
Kwani Jei ef inakimbiza.


Acha bana amemwigilizia mwenye herrr,eee sorry mtukufu saaana katika kuiwaikilisha lugha.
Mwenye heri una maana Faru John si ndio?
 
nowhere hapo kuna tafsiri 2 no where na unaweza kuisoma now here!

Now here mshale ungeelekea chini. Fanya hivyo kwenye international airports za nchi zilizoendelea uone kama haijala kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…