Kibanda kinauzwa Ubungo DSM

Kibanda kinauzwa Ubungo DSM

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Kibanda kinauzwa kipo maeneo ya Ubungo Dar kinafaa sana kwa shughuli za uwakala ni cha chuma 0714702720..
 
Ndugu milale fanya hiv;
1.Piga picha alaf post hapa
2.Weka vipimo vya banda unalouza
3.Sema ubungo sehemu gani sbb mteja anaweza kupenda location tu akaamua kulinunua
4.Si vibaya ukasema geji ya bati uliyotumia
5.Weka na bei kabisa tena yakibiashara mfano; kisaikolojia kunatofauti kubwa kati ya tshs1,000,000/= na tshs999,999/=
Hayo tu
 
kibanda kinauzwa kinafaa sana kwa shughr za uwakala na kadhalika kina upn ft 3/5 Kipo ubungo bei sh 249,900. no 0714702720
 
kibanda kimeundwa kwa material gani? bati, mbao, chuma, tofali
picha je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom