Kibanda apelekwa S/Africa

Kibanda apelekwa S/Africa

gabatha

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
135
Reaction score
57
Absalom Kibanda amesafirishwa kwenda nje kwa matibabu zaidi.tumwombee kwa Mungu apone haraka
 
Mbowe hajamtumia pole kwa kichapo alichokipata
 
jamani naomba tusihusishe issue hii na mambo mengine aulizwe kibanda alishawahi kutishiwa kutokana na makala zake?????
 
amepelekwaje wakati passport yake imeshikiliwa na mahakama kutokana na kesi iliyo kuwa mkabili?. mia
 
Kutokana na makala zake, kesi ipo mahakaman, Labda tujue mwenendo
 
Back
Top Bottom