Maumbile ya kike pia kama ilivyo kwa wanaume yana tofautiana kwa urefu na upana. Upana wa maumbile unachangiwa na vitu kadhaa.
1. Maumbile ya asili
2. Kushiriki tendo kwa kipindi kirefu na mwanaume mwenye maumbile makubwa
3. Kujifungua
4. Kukohoa kwa muda mrefu
5. Umri
Mwanamke mwenye weak "pelvic floor" au loose vagina kama watu wanavyopenda kuita(uke mpana),anaweza kufanya exercises zinazoitwa "Kegel squeeze" kuweza kustrengthen her pelvic floor muscles na akawa na maumbile tight yatakayoweza kumuongezea vaginal sensation na pia kumridhisha mwenza wake kwani sexual pleasure itaongezeka maradufu. Sasa kina au depth inapishana pia baina ya mwanamke na mwanamke.Wengine wana inches 3-4 wakati wengine wana kati ya 5-7 inches.Hayo sasa ni mambo ya kuhusu genetics, wakati upana unaweza kusababishwa na matumizi mabaya ya viungo husika.So hapo inamaana dushelele likipitiliza kwenda ndani kwa mwenye kina kifupi atapata maumivu.