The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,548
Hivi huyo kunambi anajua kama swala la katiba sio la kisiasa au mali ya chama fulani?
naona jinsi anavyo taka kuupotosha uma na kuhalalisha swala la katiba kuwa la kisiasa tena la chama cha ccm ambao ndio client wake.
Watanzania ina bidi tuwe makini sana na kuto yumbishwa na hoja za huyo mwanasheria.
Kama ana ushahidi wa kibamba kuji husisha na chama fulani na kutekeleza sela za chama fulani na sio za kitaifa dhidi ya hii katiba mpya basi aende mahakamani pia asi wasahau viongozi wadini kwani nao watakuwa wame kinzana na sheria kuhudhulia mikutana ya katiba ambayo anaiona kama ya kisiasa kama alivyo fanya kakobe.
Na kama ni kufuta futa tu basi na kanisa la Zacharia Kakobe kiongozi wa dini la FULL GOSPEL BIBLE FELLOSHIP CHURCH (FGBFC) lifutwe kabisa kwa msajili kwa sababu kiongozi wake amejihusisha na mambo ya siasa!!
Aisee CCM wana kazi pevu kwelikweli ya ku - divert akili za watu zielekee kwao kwa lengo la kurejesha heshima na kupendwa kwa chama chao. Kwa sababu, this is too much kama watu wanaweza hata kuanza kudanganya watu mchana kweupe kwa hoja zisizo na kichwa wala miguu, then next itakuwa ni kuua kwa lengo la kutisha na kuwanyazisha wote wanawaona wanawapinga eti kwa sbb tu wao wana dola!!