Kibamba akamatwe na polisi kwa kuvunja katiba ya nchi

NYIE MNAHANGAIKA BURE NA KIBAMBA HAO NDIO MAFISADI WENGINE. ALIMTISHIA WARIOBA ANAMPELEKA MAHAKAMANI.WARIOBA AKAMWAMBIA " WAHI HARAKA NI VIZURI PIA TUTAJUA HILI BARAZA LA KATIBA NI AKINA NANI NA LINAMILIKIWA NA NANI?" sasa nyie mnaompa sapoti huyo Kibamba jiulizeni alikwenda? kama hakwenda jiulizeni WHY. hii ni nchi ya kutafunwa tu na wajanja wajinga kama huyu Kibamba,hii ndio biashara ya ulaji bana Tz= UBABAISHAJI. watu wanaanzisha mabaraza kama haya na NGO kwa ulaji tu sio kumsaidia mwananchi. WATZ AMKENI MNALIWA NA WAJANJA WAJINGA

tuhuma za kibamba za ufisadi na kutumiwa na wanasiasa ni vema akachunguzwa mapema huyu mtu ni hatari kwa usala wa taifa hili yupo tayali kuuza taifa kwa tamaa ya pesa.
NYIE MNAHANGAIKA BURE NA KIBAMBA HAO NDIO MAFISADI WENGINE. ALIMTISHIA WARIOBA ANAMPELEKA MAHAKAMANI.WARIOBA AKAMWAMBIA " WAHI HARAKA NI VIZURI PIA TUTAJUA HILI BARAZA LA KATIBA NI AKINA NANI NA LINAMILIKIWA NA NANI?" sasa nyie mnaompa sapoti huyo Kibamba jiulizeni alikwenda? kama hakwenda jiulizeni WHY. hii ni nchi ya kutafunwa tu na wajanja wajinga kama huyu Kibamba,hii ndio biashara ya ulaji bana Tz= UBABAISHAJI. watu wanaanzisha mabaraza kama haya na NGO kwa ulaji tu sio kumsaidia mwananchi. WATZ AMKENI MNALIWA NA WAJANJA WAJINGA
Kibamba akamatwe na polisi kwa kuvunja katiba ya nchi
Kibamba ni mganga njaa na mjasiriamali wa NGO