Kibamba: Mwanasheria CCM anatapatapa

Kibamba: Mwanasheria CCM anatapatapa

kauli ina ukweli ndani yake asasa za kiraia zinafanya political movement...na watu wanatafuta umaarufu kupitia izo asasi zenu

ACHA UMBULURA,SWALA LA KATIBA NI LETU SOTE.acha mawazo ya kimagamagamba na kudhani eti maccm tu ndo yenye haki ya kututungia katiba,nyambafu
 
Kibamba akamatwe na polisi kwa kuvunja katiba ya nchi

Amevunja Ibara ya ngapi ya Katiba? Au,

2. Je, umeona Cheti cha Usajili wa Jukwaa la Katiba Tanzania?

3. Je, unajua malengo ya hilo Jukwaa?

USHAURI:

Bw. Kunambi, angeonyesha cheti cha usajili wa hilo jukwaa na masharti yake ingesaidia sana kuondoa utata. Lkn kudai tu kuwa wamevunja sheria bila ushahidi ni upotoshaji.

Kwa taarifa, hicho kipengele cha 20 cha NGO Act, wala hakisemi huo ujinga alitoa Bw. Kunambi, soma hapa chini:

20. -(1) Subject to Section 21, the Board may suspend or cancel a certificate of registration if it is satisfied that;

(a) the terms or conditions prescribed in the certificate have been violated,

(b) the Non Governmental Organization has ceased to exist;


(c) the Non Governmental Organization operates in variance to its constitution, or


(d) the Council has submitted, to the satisfaction of the Board, recommendation for its suspension or cancellation.

(2) Where the Certificate of registration has been suspended or cancelled the Board shall direct the Registrar.

(a) to notify the relevant Non Governmental Organization; or

(b) to order such Non Governmental Organization to stop its operations; or

(c) to remove the name of such Non Governmental Organization from the register

And, kipengele cha 21 kinaweka taratibu za ufutaji wa NGO iliyovunja masharti yaliyotajwa ktk kipengele cha 20 hapo juu.

Pia, soma Amendment of NGO ACT, NO. 11 of 2005, inafasiri pana ya neno "non-partisan" na "NGO"


TUJIULIZE:

Bw. Kunambi ametoa wapi uwezo wa kutuambia kuwa akina Kibamba wamevunja Sheria, au ni wapi wameandika kushiriki ktk siasa?
 
amevunja ibara ya ngapi ya katiba? Au,

2. Je, umeona cheti cha usajili wa jukwaa la katiba tanzania?

3. Je, unajua malengo ya hilo jukwaa?

Ushauri:

Bw. Kunambi, angeonyesha cheti cha usajili wa hilo jukwaa na masharti yake ingesaidia sana kuondoa utata. Lkn kudai tu kuwa wamevunja sheria bila ushahidi ni upotoshaji.

Kwa taarifa, hicho kipengele cha 20 cha ngo act, wala hakisemi huo ujinga alitoa bw. Kunambi, soma hapa chini:

20. -(1) subject to section 21, the board may suspend or cancel a certificate of registration if it is satisfied that;

(a) the terms or conditions prescribed in the certificate have been violated,

(b) the non governmental organization has ceased to exist;


(c) the non governmental organization operates in variance to its constitution, or


(d) the council has submitted, to the satisfaction of the board, recommendation for its suspension or cancellation.

(2) where the certificate of registration has been suspended or cancelled the board shall direct the registrar.

(a) to notify the relevant non governmental organization; or

(b) to order such non governmental organization to stop its operations; or

(c) to remove the name of such non governmental organization from the register

and, kipengele cha 21 kinaweka taratibu za ufutaji wa ngo iliyovunja masharti yaliyotajwa ktk kipengele cha 20 hapo juu.

Pia, soma amendment of ngo act, no. 11 of 2005, inafasiri pana ya neno "non-partisan" na "ngo"


tujiulize:

Bw. Kunambi ametoa wapi uwezo wa kutuambia kuwa akina kibamba wamevunja sheria, au ni wapi wameandika kushiriki ktk siasa?

hizi ndio hoja zilizoenda shule,,,,,saaafi sana mkuu
 

Attachments

  • 1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    6.5 KB · Views: 208
ni vema kibamba akaanzisha chama cha siasa kuliko kufanya siasa kwa ktumia vyama vingine.

na nivema ccm mkaanzisha nchi yenu muiite ccm ili muwe mnawatumia mabalozi wanaowakilisha inchi zao katika shuguli zenu zakisiasa lakini sio hapa tanzania
 
Hivi huyo kunambi anajua kama swala la katiba sio la kisiasa au mali ya chama fulani?
naona jinsi anavyo taka kuupotosha uma na kuhalalisha swala la katiba kuwa la kisiasa tena la chama cha ccm ambao ndio client wake.
Watanzania ina bidi tuwe makini sana na kuto yumbishwa na hoja za huyo mwanasheria.
Kama ana ushahidi wa kibamba kuji husisha na chama fulani na kutekeleza sela za chama fulani na sio za kitaifa dhidi ya hii katiba mpya basi aende mahakamani pia asi wasahau viongozi wadini kwani nao watakuwa wame kinzana na sheria kuhudhulia mikutana ya katiba ambayo anaiona kama ya kisiasa kama alivyo fanya kakobe.
 
hata ukitoa baadhi ya thread zenye hoja nzito bado ujumbe umefika. Kibamba ni fisadi tu kama mafisadi wengine. alimtishia Warioba kwenda mahakamani,warioba akamwambia tangulia haraka tukutane huko ndio hapo tutajua jukwaa la katiba ni kina nani,?inamilikiwa na nani? na inamuwakilisha nani? mbona hakwenda hadi leo? alijua kitumbua kitaingia mchanga na ulaji utapotea,baadaye akaanza kumsifu Warioba kwa kazi nzuri,sasa kaibukia kwenye muungano wa upinzani. hii nchi inatafunwa na wengi na si ccm pekee,kunaanzishwa mabaraza kama haya,NGO nk kwa ulaji tu. AMKENI WATANZANIA (na hii iondoeni pia,acheni uhuru wa mawazo,msitumikie wajanja wajinga)
 
Hii kweli ndio Tanzania, tuna mambo ya aajabu sana; wale wanaofanya mambo ya msingi kwaajili ya manufaa ya umma ndio wanakuwa adui wa serikali; wale majangili, wazungu-wa-unga, wezi-wa-mali-za-umma, wala-rushwa ... hawa ni watu wazuri wanakumbatiwa na kulindwa na serikali(vyombo vya usalama).
 
Kibamba akamatwe na polisi kwa kuvunja katiba ya nchi
Mkuu mbona avatar yako inapingana na nukuu ya mwalimu Nyerere uliyoiweka hapo chini inayosema,
''Tanzania bila ccm imara itayumba''
 
Hongera kaka pigania maslahi ya watanzania ccm hawaitakii mema nchi hii na kwamtindo huu ni bora ccm wangetaa hoja ya katiba mpya gharama kubwa imetumika halafu ccm wanataka yaleyale ya mwaka 1977 wenzao marekani walitunga katiba miaka 300 iliyopita vyama vyote wakiwa madarakani wanatumia sasa sisi insikitisha ccm wameweka maslahi yao mbele hakika hii ni katiba ya ccm
 
tuhuma za kibamba za ufisadi na kutumiwa na wanasiasa ni vema akachunguzwa mapema huyu mtu ni hatari kwa usala wa taifa hili yupo tayali kuuza taifa kwa tamaa ya pesa.

Na nyie chama cha WACHINA mnaotuuza kwa Wachina tuwafanyeje km unapendekeza Kibamba achunguzwe??
 
Kibamba akamatwe na polisi kwa kuvunja katiba ya nchi

Ingekuwa simu tungesema unashikilia line acha na wengine wapige lakini kwa kuwa ni mtandao wa intaneti tunamezea maana ungeweza kutoa comment zako kwa pamoja ingetosha kabisa, au ndio kuonyesha uchungu
 
Hii kweli ndio Tanzania, tuna mambo ya aajabu sana; wale wanaofanya mambo ya msingi kwaajili ya manufaa ya umma ndio wanakuwa adui wa serikali; wale majangili, wazungu-wa-unga, wezi-wa-mali-za-umma, wala-rushwa ... hawa ni watu wazuri wanakumbatiwa na kulindwa na serikali(vyombo vya usalama).

Kibamba kama angekuwa anawaunga CCM kama ilivyotokea kwa balozi wa China nadhani ingekuwa shwari tu, kuna wengine watakuja na uzi wa kumwambia Kakobe aachane na siasa aendelee na dini bila kutambua hata yeye ni Mtanzania ana haki zake
 
Back
Top Bottom