polisi wa hii nchi ndugu yangu wapo kimaslahi zaidi,ukiwa na mkwanja utaandamana mpaka uchoke ila kama ni chaka chinu we utakuwa ni mtu wa kulalamika daima,wanazijuwa sheria ila ni makaidi sana,hakuna kilichobadilika kila kitu kipo wazi,hata wanapoongelea kuwa nchi haipo ktk mstabari wa mzuri wa amani wana juwa kuwa Raisi ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari,ila wao wanatumia kigezo hicho pasipo hata Raisi kutangaza
Ila ndio polisi wetu walivyo(walitowa kibali kwa makongoro mahanga kuhutubia wapiga kura-wakamnyima mpendazoe) sasa haki ipo wapi?
mapinduziiii daimaaaaa