Kibakwe: Ni Engineer Gabriel Mwikola Vs Simbachawene via CCM

Kibakwe: Ni Engineer Gabriel Mwikola Vs Simbachawene via CCM

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,321
Reaction score
13,765
Katika muda wake wote Wa vipindi viwili mbunge wa sasa (Simbachawene) hajawahi kukutana na upinzani mkali kama huu maanake kapagawa na inaonekana dhahiri amechelewa sana kwa sasa, Kutokurudi jimboni amemkuta Eng. Mwikola ameweka mizizi.
 
mkuu engineer Gabriel mwikola ni nani? na anagombea kupitia chama gani?
 
Nadhani simbachawene bado anakubalija vijjn kama kule malolo, mang'aliza, garigari, rudi, ipera na chipogoro
 
Nadhani simbachawene bado anakubalija vijjn kama kule malolo, mang'aliza, garigari, rudi, ipera na chipogoro

kakusimulia Nani hadithi za uongo hizo Nani amtake simbachawene chipogoro kwanza kuna mccm mwenzake Eng acrey Galawika huyo anakubalika sana hayo maeneo yote mpaka Mtera asipoteze muda wake atafute shughuri nyingine ya kufanya mbona kazi nyingine zipo za kufanya.
 
Katika mda wake wote Wa vipindi viwili mbunge wa sasa (Simbachawene) hajawahi kukutana na upinzani mkali kama huu maanake kapagawa na inaonekana dhahiri amechelewa sana kwa sasa, Kutokurudi jimboni amemkuta Eng. Mwikola ameweka mizizi.

ARUDISHE MAENEO YETU ALIYOYAUZA YA MADINI TAFADHALI TAFADHALI NDIPO WANA KIBAKWE TUTAMUELEWA!ii
 
Mnataka kuniambia huyu mhehe wa dodoma anang'oka...masihala hayo
 
Katika mda wake wote Wa vipindi viwili mbunge wa sasa (Simbachawene) hajawahi kukutana na upinzani mkali kama huu maanake kapagawa na inaonekana dhahiri amechelewa sana kwa sasa, Kutokurudi jimboni amemkuta Eng. Mwikola ameweka mizizi.

simbachawene akaanzishe mradi wa kufuga nyuki
 
mmmmh jamaaa alijinadi bungeni kuwa kasambaza umeme kila kona jimboni kwake. leo hii hatakiwi?
 
Kibakwe bila kuwa na mbunge toka upinzani msahau maendeleo, juzi wiki iliopita Simbachawene aliwatishia wananchi wa Lumuma wakichagua upinzani wasahau maendeleo, kiongozi wa ovyo kabisa bora apigwe chini
 
Yangu macho na masikio tarehe moja kura ya maoni ngoja tusubr, na mwaka huu kigaila Benson wa chadema anagombea Dodoma mjn.
 
Back
Top Bottom