Iliwahi kuandikwa magazetini kwamba Kibaden na Julio hawana bahati na hiyo timu, ushauri wangemuacha Kibadeni asaidiane na huyo mgeni au kwa vile naye pengine atataka kuwa kocha mkuu kwenye timu nyingine
Julio na Kibadeni wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi.
Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na kocha mwingine mzungu, si yule Bobby Willliamson ambaye aliandikwa na gazeti moja nchini kwamba ndiye kocha mpya wa Simba.
iliwahi kuandikwa magazetini kwamba kibaden na julio hawana bahati na hiyo timu, ushauri wangemuacha kibadeni asaidiane na huyo mgeni au kwa vile naye pengine atataka kuwa kocha mkuu kwenye timu nyingine
kamati imemfunga paka kengele
kwa mwaka mmoja simba imebadili makocha nane, kwa miaka nane arsenal na man u wamekua na kocha mmoja tu