Mfalme wa wap :what::what:
Hilo neno la mwisho linatumika sana na wanaume wa Rombo au kinondoni
Kwendeni huko na alikiba wenu...watu siku mnakula maharage ya wap
watu tumeibiwa bil.600 mnaishia kujadil upuuz
Mfalme wa wap :what::what:
Ali kiba ameshapotea kwenye game.. Ndio maana ata show hapati.
Mfalme wa wajinga