Kiatu

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
HIVI VIATU VIKITIWA MADUKANI WATU WAKAANZA KUVIVA FOLENI SI ITAONGEZEKA MARADUFU .NAOMBA WAFANYABIASHARA MSIVIAGIZE INGAWA BEI NI RAHISI MNO😛ound::bange:
 

Attachments

  • capt.26fdc6bbb0cd445b99f9c044119b982c-26fdc6bbb0cd445b99f9c044119b982c-0[1].jpg
    12.8 KB · Views: 460
Hapo kama sio kujikwaa njia nzima basi lazima utoke meno
 
hahah hizo swaga ni balaa wale masharobaro mko wapi?:biggrin1:
 
Wamletee mkwele wa kundi la vichekesho wa ITV.
 
Kiatu kinatangulia ndani mvaagi bado akiwa mlangon kwenye kizingiti
 
unapakia viatu kwenye buti kwanza halafu ndo unapanda gari
 
Hahahaaaaaa utadhami mkia wa ng'ombe anapopandwa na kichaaaa lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…