Kiatu kikali cha Clarks kutoka Uingereza

Kiatu kikali cha Clarks kutoka Uingereza

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,108
Hiki kiatu kimebaki pair moja tu kwa anayehitaji.
Size 41 England size
Color black
Price 60,000Tzs
IMG_2727.JPG
IMG_2728.JPG
IMG_2731.JPG
IMG_2729.JPG
 
Nashukuru kwa wote mlioonyesha interest but tayari kimeshachukuliwa
 
Mbona umekiuza bei rahisi sana, kiatu cha kiume, Clarks, pure leather....!!!?

Ukipata cha kike nakichukua fastaa.
 
Wapi nitapata kiatu chenye muonekano kama hiki, hasa kiwe mtumba au used ila kiwe ngozi kwa bei ya kawaida kama 40k.
 
Back
Top Bottom