Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,949
- 47,737
kwani alienda kuombwa? kama mnababaika na ustar wake ni nyinyi tu, watu wanamuona wa kawaida tu, kwa mtu anaejielewa hiyo ni dhihakaMessi anahangaika nini na hiyo mijitu? Mijitu isiyoelewa kuwa tamaduni zao siyo ya dunia yote? Mijitu inayowaza shari kula wakati hata kama una nia njema kwao?
hayo ni mawazo yako ambaye ushakua addicted na ustar wa mess, lolote atakalofanya kwako ni sawa, kwa waungwana na waliohuru kifikra hiyo ni dhihakaWaliokasirika ndio wamechemka.
Messi ni football star. Kiatu ni football gear. Kutoa gear yake ni ishara ya heshima.
Utamaduni wa kuangaliwa hapo ni wa soka.
Messi anahangaika nini na hiyo mijitu? Mijitu isiyoelewa kuwa tamaduni zao siyo ya dunia yote? Mijitu inayowaza shari kula wakati hata kama una nia njema kwao?
Tatizo ni huko ulipozaliwa na kukulia akil yako inawaza PUMBA TUMessi anahangaika nini na hiyo mijitu? Mijitu isiyoelewa kuwa tamaduni zao siyo ya dunia yote? Mijitu inayowaza shari kula wakati hata kama una nia njema kwao?
Dunia ya sasa tunapaswa pia kujifunza tamaduni za watu wengine
Niliwahi kuona Colin Powell akifurahia kuoneshwa mbwa aliepewa jina lake
Sasa sisi waswahili mtu akikwambia nimempa mbwa wangu jina lako utaona nimekuheshimu au nimekudharau?
Messi kama alitaka kuwathamini c angetoa ela kwny account yke n kuwatumia iyo n dharau et kiatu kipigwe mnada ndo ela ipelekweMesi kaona kawathamini, wao wanaona wametukanwa. Kazi kweli!
Duh! Mkuu sasa dini imeingiaje hapa? Ktk mantiki ya thread na post yangu dini imeingiaje nakuuliza?Mijitu kama wewe ambayo haielewi kuwa watu wana ufahamu na uelewa tofauti ni ya nini sasa. Mijitu kama wewe ambayo inafikia hitimisho bila kuwa na taarifa zote zaidi ya hisia na chuki na udini tu. Unawezaje hitimisha kuwa watu wa kule tena wote wanawaza shari tu? Mijitu kama wewe ni kama Jecha tu.
Hata huyo Messi wako anatakiwa kujuwa tamaduni zake sio kwa dunia yote.Messi anahangaika nini na hiyo mijitu? Mijitu isiyoelewa kuwa tamaduni zao siyo ya dunia yote? Mijitu inayowaza shari kula wakati hata kama una nia njema kwao?
Kwanza huyo Messi siyo wangu, ni wa Barca, na umesema vema "anatakiwa kujuwa tamaduni zake siyo za dunia yote". Bila shaka unaweza kujibu haya maswali:Hata huyo Messi wako anatakiwa kujuwa tamaduni zake sio kwa dunia yote.
Wewe ni mmisri? Maana inaonekana unawaka hasira juu ya Messi kama wamisri. Na ni wapi huko mkuu nilipozaliwa na kukulia?Tatizo ni huko ulipozaliwa na kukulia akil yako inawaza PUMBA TU
Tatizo ni huko ulipozaliwa na kukulia akil yako inawaza PUMBA TU
Utakuwa na chuki binafsi na Messi wewe, si bure. Halafu hao unaowaita "waungwana na watu walio huru ndo watu wa wapi? Maana katika tembea tembea yangu nishakuta mahali mgeni akifika kabla ya salamu wanamvua viatu vyake na kuvibusu maana ndo vimembeba na kumfikisha mgeni wao mpendwa.hayo ni mawazo yako ambaye ushakua addicted na ustar wa mess, lolote atakalofanya kwako ni sawa, kwa waungwana na waliohuru kifikra hiyo ni dhihaka