Kiasi gani cha mtaji kinahitajika?

dumejike

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
325
68
Habarini humu ndani
Ningependa kufungua duka la kuuza dawa siku zijazo ila sijajua ni mtaji kiasi gani ninahitaji kuweza kufanikisha hili?
Naombeni mawazo yenu tafadhali
 
Dawa za nini?
mitishamba?
binadamu?
meno?
mifugo?
Madoa?
Viatu?
chooni?
Na eneo gani?? mjini au kijijini?
weka maelezo ya kutosha nawewe upate ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom