Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,341
Zikiwa zimebaki siku kama 10 kwa CAS kuacha kukubali maombi mapya kuna kitu kinanitatiza. Unapochagua program CAS inaonyesha idadi ya waombaji wengine waliokwisha ichagua program husika (nafasi (priority) ya 1 hadi ya 5) kwa muda mrefu kwenye selections za dogo sioni kama idadi ile inabadilika. Swali ni Je CAS kwa hili ikosahihi? Au system imekwama hivyo haitupi taarifa sahihi ya kutusaidia kufanya maamuzi. Kama inafanya kazi je hii inashiria kuna program zitakuwa na shida ya kupata wanafunzi? Tafadhali tushare experiences kwenye hili na tujiweke sawa kisaikolojia.